TAMISEMI Kutangaza selection form 5 leo may 12 2022 ,wanafunzi kureport June 2022

wameshatoa majina lakini nimeshangaa sana mwanangu aliomba machaguo yote CBG lakini wamempa HGK sasa kuna maana gani ya kusumbua watu kujaza selfom?
Tuchungulie wapi ?.
 
Ungependelea mdogo wako ama ndugu yako apelekwe chaguo lipi kati ya kidato cha sita ,vyuo vya Urundi ama ualimu...??!!.Anyway bashungwa kashatangaza selection leo tayari kasema kuripoti kunaanza juni mwanzoni mwisho ni 30 juni..Haya mwenye link ashushe mzigo tuangalie!
 
Unaingalia wapi?
Kila mtoto ana account yake,pale penye account kuna option ya kuangalia selection so ingia hapo then weka namba yake ya mtihani utaona amepangiwa wapi?
 
Wakienda shule June, wakati waliokamatwa shule mumesema waendele home kwa sensa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…