TAMISEMI kwanini mliwahangaisha ndugu zetu kuomba ajira

Afage

Member
Joined
Sep 12, 2021
Posts
46
Reaction score
66
Kwanza niwape pole wadogo zangu mliohitimu miaka ya 2015 na 2016. Wenyewe mmejionea walivyotoa majina

Hivi tamisemi inakueaje mtu wa mwaka Jana achukuliwe aachwe wa miaka ya nyuma?

Mmekaa miezi miwili bila kutoa majina kumbe mnaingiza ndugu zenu?

Bashungwa vijana wanakuchukia sana
 
.
20220626_131856.jpg
 
Tuliwaambia muda si mrefu mtapigwa na kitu kizito kichwani! Na kweli utabiri umetimia.

Poleni sana wahitimu wetu mliokosa ajira kwa mara nyingine tena. Ni wakati sasa wa kukubali matokeo, na hivyo kurudi mtaani kwa ajili ya kupambana na maisha.
 
Kwanza niwape pole wadogo zangu mliohitimu miaka ya 2015 na 2016. Wenyewe mmejionea walivyotoa majina
Hivi tamisemi inakueaje mtu wa mwaka Jana achukuliwe aachwe wa miaka ya nyuma?
Mmekaa miezi miwili bila kutoa majina kumbe mnaingiza ndugu zenu?
Bashungwa vijana wanakuchukia sana
INNOCENT BASHUNGWA KWA DHATI ; HII WIZARA HAIWEZI HAIWEZI HALAFU HAIWEZI TENA.
NI UTEUZI ILA MH RAIS samia S H AMEMUONEA.
HII DOZI NI KUBWA MNO.
ANGEMUACHA WIZARA YA MICHEZO TU
HAIWEZI TAMISEMI NA VITIMBI VYAKE
 
Ilikua ni suala la muda tu waalimu mtaanza kuja humu mnalialia..poleni.

Nafasi ni chache waombaji wengi msiache kuomba tena nafasi zikitangazwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
mwaka wa 2015, 2016 ulikua mwaka mbaya sana kuhitimu chuo..miaka hii cheti chake kina gundu sana ata kiwe na first class gpa ..nakushauri kama unauwezo kasome tena course nyingine ..kubali kupoteza two years itaona
 
sie wengine wa 2014 tulishaachana na mambo ya cv tupo mtaani tu akaanga vipande vya kuku
 
Duuuh! 2014,15,16,17 anaachwa,anachukuliwa wa 2020 au 2021,happy ndo utajua hujui
 
Kwanza niwape pole wadogo zangu mliohitimu miaka ya 2015 na 2016. Wenyewe mmejionea walivyotoa majina
Hivi tamisemi inakueaje mtu wa mwaka Jana achukuliwe aachwe wa miaka ya nyuma?
Mmekaa miezi miwili bila kutoa majina kumbe mnaingiza ndugu zenu?
Bashungwa vijana wanakuchukia sana
Safi sana. Ni vizuri pengine hizi akili za nyumbu zitabadilika wajue ni nini maana ya kuiwajibisha serikali zembe.
 
Kwanza niwape pole wadogo zangu mliohitimu miaka ya 2015 na 2016. Wenyewe mmejionea walivyotoa majina
Hivi tamisemi inakueaje mtu wa mwaka Jana achukuliwe aachwe wa miaka ya nyuma?
Mmekaa miezi miwili bila kutoa majina kumbe mnaingiza ndugu zenu?
Bashungwa vijana wanakuchukia sana
Acha kulia lia, kwani waliochukuliwa na Warundi au Watanzania. Kaza Buti Tanzania fursa zipo Kibao. Kama unabisha Njooo Namanyere nikupe Mchongo wa Kuvuna Mpunga ekari 1 elfu 60 na bado vibarua hawatoshi hapa nilipo
 
Kwanza niwape pole wadogo zangu mliohitimu miaka ya 2015 na 2016. Wenyewe mmejionea walivyotoa majina
Hivi tamisemi inakueaje mtu wa mwaka Jana achukuliwe aachwe wa miaka ya nyuma?
Mmekaa miezi miwili bila kutoa majina kumbe mnaingiza ndugu zenu?
Bashungwa vijana wanakuchukia sana
mkuu unahasira ni wewe mwenyewe au ndg yako?Poleni bhana
 
Kuna kitu walikifanya siyo bure. Mwaka 2015 kurudi nyuma ilikuwa ni zoa zoa.

Unakuta mtu alipangiwa kituo mwaka 2014, lakini hakuripoti. Na mwaka 2015 aliomba na kupangiwa.

Mpango wa maendeleo kwa elimu ya sekondari (MMES), uliishia mwaka 2015. Mkakati mmojawapo wa MMES ni kuajiri walimu wa kutosha, ndio maana uliona ilikuwa ni zoazoa. Nasikia hela za wafadhili zilikuwa zinatolewa.
Achana na mambo hayo basi wafute baadhi ya qualifications za kuajiliwa.

Nasisitiza watendaji wote tamisemi mmbwa.

Haiwezekanai hata mtu mmoja postgraduate hayupo
Nimempigia naibu waziri nae mmbwa tu hajui kitu.
 
post graduate ya education hawaajiri siku hizi. kuna classmate wangu alipata alipokelewa ikawa mbinde kuingiziwa mshahara. kafuatilia kachoka akaamua kuacha
 
Back
Top Bottom