INNOCENT BASHUNGWA KWA DHATI ; HII WIZARA HAIWEZI HAIWEZI HALAFU HAIWEZI TENA.Kwanza niwape pole wadogo zangu mliohitimu miaka ya 2015 na 2016. Wenyewe mmejionea walivyotoa majina
Hivi tamisemi inakueaje mtu wa mwaka Jana achukuliwe aachwe wa miaka ya nyuma?
Mmekaa miezi miwili bila kutoa majina kumbe mnaingiza ndugu zenu?
Bashungwa vijana wanakuchukia sana
Safi sana. Ni vizuri pengine hizi akili za nyumbu zitabadilika wajue ni nini maana ya kuiwajibisha serikali zembe.Kwanza niwape pole wadogo zangu mliohitimu miaka ya 2015 na 2016. Wenyewe mmejionea walivyotoa majina
Hivi tamisemi inakueaje mtu wa mwaka Jana achukuliwe aachwe wa miaka ya nyuma?
Mmekaa miezi miwili bila kutoa majina kumbe mnaingiza ndugu zenu?
Bashungwa vijana wanakuchukia sana
Acha kulia lia, kwani waliochukuliwa na Warundi au Watanzania. Kaza Buti Tanzania fursa zipo Kibao. Kama unabisha Njooo Namanyere nikupe Mchongo wa Kuvuna Mpunga ekari 1 elfu 60 na bado vibarua hawatoshi hapa nilipoKwanza niwape pole wadogo zangu mliohitimu miaka ya 2015 na 2016. Wenyewe mmejionea walivyotoa majina
Hivi tamisemi inakueaje mtu wa mwaka Jana achukuliwe aachwe wa miaka ya nyuma?
Mmekaa miezi miwili bila kutoa majina kumbe mnaingiza ndugu zenu?
Bashungwa vijana wanakuchukia sana
mkuu unahasira ni wewe mwenyewe au ndg yako?Poleni bhanaKwanza niwape pole wadogo zangu mliohitimu miaka ya 2015 na 2016. Wenyewe mmejionea walivyotoa majina
Hivi tamisemi inakueaje mtu wa mwaka Jana achukuliwe aachwe wa miaka ya nyuma?
Mmekaa miezi miwili bila kutoa majina kumbe mnaingiza ndugu zenu?
Bashungwa vijana wanakuchukia sana
Achana na mambo hayo basi wafute baadhi ya qualifications za kuajiliwa.Kuna kitu walikifanya siyo bure. Mwaka 2015 kurudi nyuma ilikuwa ni zoa zoa.
Unakuta mtu alipangiwa kituo mwaka 2014, lakini hakuripoti. Na mwaka 2015 aliomba na kupangiwa.
Mpango wa maendeleo kwa elimu ya sekondari (MMES), uliishia mwaka 2015. Mkakati mmojawapo wa MMES ni kuajiri walimu wa kutosha, ndio maana uliona ilikuwa ni zoazoa. Nasikia hela za wafadhili zilikuwa zinatolewa.
post graduate ya education hawaajiri siku hizi. kuna classmate wangu alipata alipokelewa ikawa mbinde kuingiziwa mshahara. kafuatilia kachoka akaamua kuachaAchana na mambo hayo basi wafute baadhi ya qualifications za kuajiliwa.
Nasisitiza watendaji wote tamisemi mmbwa.
Haiwezekanai hata mtu mmoja postgraduate hayupo
Nimempigia naibu waziri nae mmbwa tu hajui kitu.