Kuna vitu vinafikirisha na kuvunja moyo hivi
1. Inakuwaje mnaachia tangazo la kuomba ajira na mfumo wenu haujakaa sawa?
2. Je mnajua kuwa kuna watu wamesafiri kutoka vijijini kuna mjini kufanya maombi kwa kukopa tu nauli?
3. Kabla hamjaruhusu tangazo hamkufanya tathimin ya mfumo kabla?
4. IT wa wizara wako serious kweli?
5. Upungufu wenyewe wa watumishi ni wengi ila mnaomba kiduchu
ANGALIZO
A. Waziri unasimamia wizara nyeti sana ila bado unajifunza na watalamu wako wahakupi ushirikiano vizuri.
B. Chagueni watumishi bila kupendelea ili msilete manung'uniko tunajua waombaji ni wengi sana ila zingatieni mwaka wa kuhitimu, uhitaji wa masomo na umri wa mtu.
C. Shule zote zinaupungufu kumbukeni kuomba ajira mbadala pare watumishi wanapostafu kupunguza msongamano mtaani