TAMISEMI lini inaweka majina ya selected F1 mwaka 2025?

TAMISEMI lini inaweka majina ya selected F1 mwaka 2025?

Rusumo one

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
3,458
Reaction score
4,283
Mkwe achia majina uchaguzi S/M umekwisha unakwama wapi Kama NECTA wao walifanya Yao mapema kupanga tu majina miezi? Na ole wako mkwe upange double standard Kama mwaka Jana.
Alamsiki!!!
 
Hata sisi tunashangaa! Mwaka juzi kulikuwa na vituko sana! Watoto wana 'C' wakapelekwa vipaji boarding na 'A' wakapelekwa shule za kata! Sijiu udini?
 
Ukiambiwa ulete uthibitisho utaleta au stori za gahawa unazileta hapa
Ushahidi huu hapa! uswekweni
Angalia huyu mwanafunzi (Mfaume Hamza) alikuwa na wastani wa 'C' akapelekwa bweni kitaifa wakati wenzao wana 'A' wakatupwa shule za kata
Screenshot_20241204_213220_Chrome.jpg
Screenshot_20241204_211252_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom