TAMISEMI lini inaweka majina ya selected F1 mwaka 2025?

Rusumo one

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
3,458
Reaction score
4,283
Mkwe achia majina uchaguzi S/M umekwisha unakwama wapi Kama NECTA wao walifanya Yao mapema kupanga tu majina miezi? Na ole wako mkwe upange double standard Kama mwaka Jana.
Alamsiki!!!
 
Hata sisi tunashangaa! Mwaka juzi kulikuwa na vituko sana! Watoto wana 'C' wakapelekwa vipaji boarding na 'A' wakapelekwa shule za kata! Sijiu udini?
 
Connection
Huu ni ujinga hakuna cha connection! Connection ziendane na ufaulu! Utapelekaje vipaji wenye 'C' na wenye 'A' shule za kata! Huyu mkuu wa selection achunguzwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…