Tamisemi lipeni mishahara ya walimu jamani!

Nasikia kuna sehemu uhakiki umeanza tena hivyo waalimu wamekuwa ni kama embe la uwani kwa viongozi wa ccm. adui Mkubwa wa ccm ni ccm yenyewe
 
Pole sn mwalimu umeona serikali ya mwalimu mwenzako ilivyo ya kikatili, kuna wengine hawajapandishwa madaraja toka 2012 enzi ya mkwere mpaka leo, huu utawala ni katili sana.
 
+ 3% NHIF, 25 kodi,
 
Inawaka waka Chato ai mama , inapendeza Chato ai mama jua lile literemke mama ...[emoji444][emoji445][emoji445]
 
Usevya mamba kibaoni au kashishi
 
Sisi mbona tumeshalipwa wewe mwalimu wa wapi??
 
#THE LOST na unaroho mbaya kama jina lako. Hawa hawakuhusika kwenye uchaguzi tunsongelea waalimu walioanza kazi
Hao si ndio waliokuwa wanasema watumishi wanaolalamika mshahara kiduhu au kuchelewa waache kazi wao wako tayari kwa huo huo kiduchu?
 
Yule wa kituo kile aliniambia ameishalipwa ila sikumuuliza kama alilipwa miezi yote. Kiongozi kazi ya TAMISEMI ni kuwapangia walimu vituo vya kazi na kuwasilisha orodha utumishi kwa payroll. Hata hivyo, kama walimu hawajalipwa Jafo hawezi kukwepa lawama kwa sababu anapaswa kufatilia ili walimu wapate mishahara yao kwa wakati.

Nliposoma kuwa BAYPORT inawamendea walimu ili iweze kuwaingiza kwenye mkopo wa 300% nlicheka sana! Kwa nn nlicheka? Ni kwa sababu hiyohiyo nlipokumbuka Yule rafiki yangu aliyekopeshwa milioni 2 mwaka 2012 akalipa jumla ya milioni 7. Hapo alishapiga myayo had basi.
 
Wewe nawe huaminiki mkuu mara useme upo ofisi ya Rais mara kwenye ualimu napo upo.
Inawezekana ndiyo papaa mopao huyo,tuko pamoja nae [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mnahangaika na maendeleo ya taifa lenuu. Haturudi nyuma, mikopo mlikopa wenyewee ya nini kulia lia wakati wa kurudishaa?? Lipeni deni na sisi tukopee
 
Mnahangaika na maendeleo ya taifa lenuu. Haturudi nyuma, mikopo mlikopa wenyewee ya nini kulia lia wakati wa kurudishaa?? Lipeni deni na sisi tukopee
Kwa hiyo mmeanzisha utaratibu usio rasmi wa kukopeshana hela za Serikali hapo Lumumba! Au unamaanisha nini!!
 
Magufuli na Dotto ndio walioshikilia fedha zetu sisi wananchi, kwa hiyo kuanza kuwasema TAMISEMI ni kupoteza muda tu.
Halafu kuna watu wanadai Jaffo ni Prez material na akili yake tegemezi. God forbid. Kwa pro anayoipata utasikia 3025 kachukua form.
 
Kwa hiyo mmeanzisha utaratibu usio rasmi wa kukopeshana hela za Serikali hapo Lumumba! Au unamaanisha nini!!
Kiuhalisia pesa ya serikali ndiyo inaibeba Lumumba.... Bila pesa ya serikali CCM ni sawa na CUF......!!
 
Lipeni mishahara ya walimu wapya aisee, mmewapeleka vituoni tena wengine huko ndani ndani vijijini wamekubali kwenda, kwa nini mnawasababishia matatizo ya kisaikolojia, yaani afisa wa serikali anadhalilika kwa sababu kuna watu hawako serious kutimiza wajibu wao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…