Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,112 Reaction score 4,361 Mar 5, 2021 #41 Matrix19 said: Inawaka waka Chato ai mama , inapendeza Chato ai mama jua lile literemke mama ...[emoji444][emoji445][emoji445] Click to expand... ilinibidi nicheke tuuu
Matrix19 said: Inawaka waka Chato ai mama , inapendeza Chato ai mama jua lile literemke mama ...[emoji444][emoji445][emoji445] Click to expand... ilinibidi nicheke tuuu
K Kiongozi mkuu2020 JF-Expert Member Joined Aug 8, 2020 Posts 1,748 Reaction score 998 Mar 5, 2021 #42 Tate Mkuu said: Kwa hiyo mmeanzisha utaratibu usio rasmi wa kukopeshana hela za Serikali hapo Lumumba! Au unamaanisha nini!! Click to expand... Kwa nini na we we mwnaufipani ukubali kukopa hela za wanalumumba??. Ludisheni hela zetu na wengine tukope.
Tate Mkuu said: Kwa hiyo mmeanzisha utaratibu usio rasmi wa kukopeshana hela za Serikali hapo Lumumba! Au unamaanisha nini!! Click to expand... Kwa nini na we we mwnaufipani ukubali kukopa hela za wanalumumba??. Ludisheni hela zetu na wengine tukope.
JOESKY JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 816 Reaction score 2,034 Mar 20, 2021 #43 Tamisemi ya Magufuli ilijaa uchafu tu na upendeleo katika kila nyanja na kama jaffo utasoma hii comment yangu nakuambia unatakiwa utubu
Tamisemi ya Magufuli ilijaa uchafu tu na upendeleo katika kila nyanja na kama jaffo utasoma hii comment yangu nakuambia unatakiwa utubu