TAMISEMI: Madarasa shikizi 1,155 yamejengwa

TAMISEMI: Madarasa shikizi 1,155 yamejengwa

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Ofisi ya Tawala za Mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) imetoa ripoti kuhusu Madarasa shikizi 1,155 ya serikali ya Awamu ya sita yamejengwa na Kazi Inaendelea na kuhimiza wazazi wapeleke watoto shule.

Hapo ni mlinganisho wa madarasa ya Awali na Madarasa ya sasa
 
Attachments

  • TAMISEMI- Madarasa shikizi 1,155 yamejengwa_low.mp4
    6.5 MB
Sasa nenda huko mashuleni hakuna elimu bora ila kuna bora elimu.
Hilo ni tatizo kubwa sana.
Hata hivyo baadhi ya shule miundombinu ya ni mibovu na Madarasa hakuna.
 
Sawa tayari tumepata majengo.

Vipi kuhusiana na;

1. Madawati.

2. Waalimu.

3. Ubora wa elimu yenyewe.
 
Sawa tayari tumepata majengo.

Vipi kuhusiana na..
Naona vipo kwenye mchakato madawati ndio yanaandaliwa, walimu ajira wamesema karibuni zitatolewa na ubora wa elimu mkuu hapo tusubiri kwanza uongo mbaya.
 
Sawa tayari tumepata majengo.

Vipi kuhusiana na...
Naona vipo kwenye mchakato madawati ndio yanaandaliwa, walimu ajira wamesema karibuni zitatolewa na ubora wa elimu mkuu hapo tusubiri kwanza uongo mbaya.
 
Back
Top Bottom