Tamisemi mbona majina yetu hayaonekani?:sjut-dom.

mwalimu wenu

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
203
Reaction score
19
Napenda kutoa taarifa hii kwa TAMISEMI kwamba mpaka wakati hatujui kwanini majina yetu hayaonekani kwenye orodha, au kuna mengine bado hayajatolewa?wadau mwenye inf. naomba atujuze humu jf.
 
Ni kweli uongozi wa chuo chenu ulichelesha kupeleka taarifa zenu tamisemi
 
Hili ni kweli waliopangwa ni km 5 tena wa sayansi .je kwa nn mwenye ufahamu atujuze
 
Jamaa yangu si utani watu kama 300+ hatupo kwenye orodha,watano tu ndo wapo pamoja na wasayansi wote,kama ingekuwa taarifa hazijaenda tamisemi haya mengine yalitoka wapi?au kila mtu anapeleka jina lake mwenyewe tamisemi?
 
Napenda kutoa taarifa hii kwa TAMISEMI kwamba mpaka wakati hatujui kwanini majina yetu hayaonekani kwenye orodha, au kuna mengine bado hayajatolewa?wadau mwenye inf. naomba atujuze humu jf.

chuo chenu kimesahaulikaa

so subirini hadi next year
 
Kama ni kusahau wangesahau bac na vyuo vingine,iweje wanavikumbuka vingine tu?cha ajabu hawajakisahau hata chuo kimoja cha certificate amboko kulikuwa na wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…