TAMISEMI mulikeni zaidi kutambua mafisadi miradi ya serikali

Sr longer

New Member
Joined
Oct 25, 2022
Posts
3
Reaction score
0
MIRADI YA SERIKALI KATIKA TAASISI ZA SERIKALI
Hapa Bado Kuna maumivu makubwa na usumbufu kwa viongozi wasimamizi wa miradi,wazabuni na wakandarasi

Kama siyo TAMISEMI kunyanyua zaidi camera ili kuwaona adui zetu (mafisadi) ambao wamatawanyika zaidi, basi, TAKUKURU,TAMISEMI NA USALAMA ongezeni kiwango Cha mahusiano katika hii MIRADI

Tabia hii inayoumiza, pia inataka kukidhiri kwani kutoka ngazi za wilaya sasa zinahamia mpaka kwa baadhi ya madiwani na watenaji wa kata kuwa Kila wakifika kukagua mradi, maswali Yao kwa msimamizi ni "tunaondokaje?". Kamati hazina raha kwani wasipoonesha mwitikio wanaweza kuandaliwa zengwe

Rai yangu kwa wateule ili tuepushe migogoro katika jamii Miradi hii ipewe uangalizi maalumu na wa wazi hao walimu wakuu na waganga wakuu tuwaache wasitumike kusimamia miradi, aidha tuwaweke katika kamati za ukaguzi wa miradi au wafanye kazi zao za kitaalamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…