Kama kumbukumbu zangu hazijakosea ni mwaka 2004/2005 waziri mwenye mamlaka alibadilisha mtaala ambapo moja ya vitu vya hovyo vitakavyobaki kama simulizi za muda mrefu ni kuunganisha somo la fizikiz na kemia na kupata somo la physics with chemistry pia kufuta somo la agricultre na mengine mengi.
Nguvu ya uma na wadau wa elimu ilionekana na haikuchukua hata muda mambo hayo yakabadilishwa na kurudi kama yalivyokuwa, japo waziri hakuchukuliwa hatua kwa sababu sheria na sera zinamruhusu waziri kuwa na maamuzi ya mwisho juu ya wizara yake hapa tulishuhudia bayana ubovu wa katiba na sheria zetu, aidha kukosekana kwa uwajibikaji ndani ya serikali.
Sitaki nijikite sana katika kumbukizi hiyo mbaya japo mwaka huu SERIKALI IMEAMUA KUTUKUMBUSHA!
Mengi madudu yaliyotokea katika elimu yetu na hakutokea hata mmoja aliyewajibishwa japo ni dhahiri kuwa ni uzembe na kukosekana kwa sheria na sera mahiri ya kusimamia elimu , pia wanaopewa dhamana kutofaa kukaa katika nafasi hizo.
Kwa machache:
Serikali ikaanza mchakato wa kubadili sera ya elimu na pia mtaalawa elimu unaoendanan na sera,
niite kudharau sekta ya elimu na bila kufanya tafiti yakinifu, tumeletewa sera na mtaala na tukajilazimisha tuanze kuutumia mwaka huu.
Matokeo yake tumewatuma vijana wetu ktk tahasusi na shule wasiszopenda, ikiwa pamoja na kufungua shule za kidato cha tano na sita hata pasipokuwa na sifa stahiki.
Nakumbuka ilizuiliwa kuhama shule na kubadilisha tahasusi(mchepuo) mfnao kijana kapata div 2 na amefaulu na kuchagua tahasusi za sayansi amepelekwa kusoma HKLi ambayo siyo ndoto zake na hana mapenzi nayo! alipotaka kuhamia shule yenye tahasusi apendayo TAMISEMI walimzuia!
Ajabu wiki iliyopita TAMISEMI WAMETOA WARAKA WA KUZUIA KUTEKELEZA MTAALA MPYA!
Je, hawa watoto walichaguliwa kusoma HKLi na PE kwa kidato cha tano na sita tofauti na matakwa yao tutawapeleka wapi? Aidha walimu waliofanya maandalizi ya masomo hayo hatuangalii athari kwao?
Je, gharama /fedha zilizotumika kuseminisha baadhi ya walimu kwa jambo ambalo serikali hailihitaji tena zinafidiwa na nani? maana inasemekana baadhi wamelipwa na shule, fedha ambazo zingesaidia ktk shughuli nyingine.
HATUONI KUWA WALIOPEWA MAMLAKA YA MAAMUZI NA KUISHAURI SERIKALI JUU YA ELIMU HAPA WAMEKOSEA NA WANAICHONGANISHA SERIKALI NA WANANCHI PIA KUWAUMIZA WANANCHI!
NI mengi maovu ktk elimu chini ya TAMISEMI hasa huko halmashauri lakini anayepigiwa kelele kila siku ni. mwalimu. Hutosikia mtu akiwajibishwa ktk hili sakata la KULAZIMISHA KUANZA KUTUMIKA KWA MTAALA MPYA BILA MAANDALIZI NA KUUSITISHA BILA KUANGALIA ATHARI KWA WANANCHI NA SERIKALI KWA UJUMLA.
Je, ni kwamba TAMISEMI wameshindwa kufanya kazi yao au ni watunga sera ndiyo walioshindwa kufanya majukumu yao?
Mwisho siyo kwa umuhimu, serikali imejitahidi kuboresha miundombinu japo kwa kiasi kikubwa imejikita ktk madarasa na kusahau uhitaji wa ofisi za walimu hata nyumba zao achilia mbali viti na meza kwa ajili ya walimu hazikujumuishwa ktk miradi yote miwili mikubwa ya uboreshaji miundombinu mashuleni ambayo iliendanan na ujenzi wa shule nyingine mpya.
Sasa shule ina madarasa haina ofisi wala vyoo vya walimu! pia haina walimu wa kutosha japo walimu wapo mtaani na hawaajairiwi kulingana na mahitaji. kuna uhitaji mkubwa sana wa walimu ktk shule za uma zote sekondari na shule msingi na vijana wenye taaluma ya ualimu wko mtaani! Je, serikali haioni umuhimu wa kuja na mpango sahihi kukabilina na hili!?

- Wizi wa mtihani 1997/1998, 2008 etc
- Wizi wa vyeti ktk chumba cha kuhifadhia vyeti NECTA
- ...