Tamisemi na wizara ya elimu tunaomba mtoe tamko kwa sisi tulio kosa ajira

Chemichemi,sulle23,mchange poleni sana wakuu.

Mkuu,
Kunasehemu nimeona umekomenti kua,
Nanukuu baadhi ya maneno yako;"hakutakua na SECOND SELECTION sababu idadi iliyotakiwa ni 36,000 tu,na hilo limechangiwa na ufinyu wa bajeti je ni kweli??????????
 
Hii serikali ni nouma,ina maana hata wale walioajiriwa hawajalipwa mishahara mpaka leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…