Tamisemi ndio kusema na walimu wa sayansi nao wametosha?

Tamisemi ndio kusema na walimu wa sayansi nao wametosha?

Annuity

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2013
Posts
338
Reaction score
198
Serikali mara nyingi inalalamika walimu wa sayansi hawatoshi, ukimya huu unapeleka message gani kwa waalimu hao? Toeni hata tamko basi msiwavunje moyo kama hizo ajira zipo na kama hamna wajue waka apply private maana wengine inawezekana wanasubiri ajira za serikalin kwa ajili ya uzalendo wao tu kutumikia taifa.
 
Back
Top Bottom