Tamisemi ongezeni Project Management Professional (PMP) kwenye Ajira Portal

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Kwenu tamisemi

Nawaomba muongeze hii certification kwenye portal yenu na iwe muhimu/lazima mnapotaka kuajiri watu wanaoenda kusimamia miradi.

Hii certificate inatolewa na Project Management Institute (PMI) ya Marekani kama standard ya dunia nzima kwenye usimamizi wa miradi.

Itaongeza sana tija katika usimamizi wa miradi ya serikali.
 
Ushauri mzuri ila usifunge wigo kwenye PMP maana zipo zaidi ya PMP na ni accredited kimataifa pia
Kweli kabisa, wanaweza kuongeza na hizo nyingine. Nimeitaja hiyo maana naona kama ndio highest ranking kwa dunia nzima.
 
Kwa hapa kwetu nchini inasomwa wapi tukajiandikishe?
Nadhani kile chuo cha project management kule posta (dsm) ni washirika wa PMI. Jaribu kutafuta mtandaoni taarifa zaidi.
 
Kama Course in yrs au zile miez 3 or 6 tu?
Ile inataka angalau masaa 35 ya darasani halafu baada ya hapo unasoma mwenyewe kisha unakuja kufanya mtihani. Ukifaulu unakuwa certified professional project manager na unapata hiyo PMP.
 
Kwa hapa kwetu nchini inasomwa wapi tukajiandikishe?
Mwenge Catholic University na Mzumbe wanatoa kwa ngazi ya Bachelor degree. Kuna vyuo vingi wanatoa ngazi ya masters.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…