TAMISEMI: Taarifa za afya zinazosambaa ni za mwaka 2022, serikali imeshajenga jengo jipya linalochukua wakinamama 42

TAMISEMI: Taarifa za afya zinazosambaa ni za mwaka 2022, serikali imeshajenga jengo jipya linalochukua wakinamama 42

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Screenshot 2023-12-18 at 17.00.50.png
 
Ummy Mwalimu kuwa waziri wa afya ni moja ya vituko vikubwa.

Nimefuatilia story hiyo katika mtandao wa X, huyu mwanadada amekodi chawa wa kumkingia mashambulizi.

Vitu vya kiafya hajui ni 0 kabisa ameweka siasa , mwisho yeye na chawa aliowapa vijisenti kumtetea nyuma ya account zao kapost picha ya hospital ya Igoma na picha ilipigwa June 8 yeye ndio anaileta leo kwenye kesi ya Buzuruga.

Inatafakarisha nikiambiwa eti hawa viongozi huwa wanafanyiwa vetting.
 
Asante kwa Bandiko Mkuu.

MAENDELEO HAYANA CHAMA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Huwa Wanakanusha Hata Ukweli, Tusiwaamini
 
Hiyo hospital ya buzuruga ni ya hovyo sana ...nilimpeleka mjamzito hapo akiwa na bima ...wakasema Kuna dawa bima haitumiki wakayaka 50k...mpaka nilipotoa ndo huduma ikatolewa

NB:Hali ni mbaya sana kwa hospitali za umma na waziri mwenyew katuliq tu
 
Back
Top Bottom