Ummy Mwalimu kuwa waziri wa afya ni moja ya vituko vikubwa.
Nimefuatilia story hiyo katika mtandao wa X, huyu mwanadada amekodi chawa wa kumkingia mashambulizi.
Vitu vya kiafya hajui ni 0 kabisa ameweka siasa , mwisho yeye na chawa aliowapa vijisenti kumtetea nyuma ya account zao kapost picha ya hospital ya Igoma na picha ilipigwa June 8 yeye ndio anaileta leo kwenye kesi ya Buzuruga.
Inatafakarisha nikiambiwa eti hawa viongozi huwa wanafanyiwa vetting.