Kweli mkuu. Unakuta wilaya inahitaji mwalimu wa hesabu TAMISEMI wanawaletea mwalimu wa Kiswahili.TCU ilikuwa na utaratibu huu wa wao kuchagua na kupangia wanafunzi vyuo, ila baadae wakaamua vyuo ndiyo vihusike kuchagua na kutuma majina TCU.
Wazo lako ni nzuri, ila labda wanaona ajira siyo nyingi zinazotolewa ndiyo maana kwao wanachukulia kazi ndogo na kitu cha kawaida.
Yes, upo sawa mkuu. Itasaidia kukidhi mahitaji kuliko kuajiri tu in general bila kujali wapi kuna upungufu gani kwa wakati huo.Kweli mkuu. Unakuta wilaya inahitaji mwalimu wa hesabu TAMISEMI wanawaletea mwalimu wa Kiswahili.
Namna hiyo wakumwajibisha anafahamika,timu itakayo ratibu utaratibu kwa halmashauri husika.Kwani TAMISEMI hakuna rushwa na kujuana?
Umechanganyikiwa wewe siyo bure.Magufuli alikuwa na Nia nzuri
Huyo mpumbavu ndiye aliharibu mfumo wa ajira.Magufuli alikuwa na Nia nzuri