hata mimi nashangaaa labda wanasubiri watu wao wakaone mazingira wasipo yapenda ndo tupangiwe watoto wa wakulima, ambao pa1 na kutucheleweshea kutangaza ajira. wameweka pending majina yetu.
wako na sifa mchanganyiko kuna waliohitimu chuo cha St John Dodoma wote waliosoma bed, kuna baadhi ya waliomaliza stashahada na shahada za ualimu mwaka jana na kuna waliomaliza kipindi cha nyuma wakasup na kuzirudia hizo sup mwaka jana wakafaulu! Tamisemi walidai kuwa taarifa zao hazikufika hivo ilibidi wapeleke upya. Kiujumla hakuna watu maalumu walioachwa bali ni changanyikeni!
Wakuu vumilieni by jumatatu post zenu zitarushwa, wory out ,alieniambia ni mmoja wao anaeprocess majina yenu TAMISEMI. By the way mko weng sana, hivo msijali
Yaani hii Wizara - TAMISEMI siielewi kabisa, naona wamewapa ajira hata waalimu walihitimu masomo ili hali waliomba ruhusa. Je database ya Wizara haitumiki???
Yaani hii Wizara - TAMISEMI siielewi kabisa, naona wamewapa ajira hata waalimu walihitimu masomo ili hali waliomba ruhusa. Nawafahamu waalimu wengi walio katika utumishi kwa sasa, na wamepangiwa ajira mpya. Je database ya Wizara haitumiki???