Bitcoinbase
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 319
- 285
Kero: Tamisemi Utumishi wameshindwa kuhamisha taarifa za mishahara ya watumishi waliohama.
Watumishi wanahangaika Huko na huku bila msaada ,ikiwa mtu amepata UHAMISHO halali kwa Nini zoezi tena lakuhamisha taarifa zake ahangaike kiasi Cha zaidi ya Miaka.
Huu ni uonevi kwa watumishi , sio sawa.
Soma Pia: Mamlaka ziwasaidie watumishi waliohama kuhamishia taarifa zao walikohamia