Takribani wanafunzi 15 tulihitimu shahada hii (PHYSICAL EDUCATION) inayotolewa chuo kikuu dar es salaam pekee kwa hapa nchini.
Inashangaza kwa TAMISEMI kutoajiri wakufunzi wa vyuo vya ualimu kwa mwaka huu ambapo tungetumika ipasavyo, kama ivyokua kwa mwaka jana ambapo wanne kati ya 14 waliajiriwa vyuoni. Badala yake TAMISEMI imepanga wahitimu wote halmashauri. sera ya kupanga walimu vijijini iangalie na upande wa pili wa shilingi.
Asanteni.