TAMISEMI wajitafakari! Tazama wanafunzi wa under 18 wakiwa wanapangishwa mstari mchana kweupe ili wakajiandikishe kupiga kura!

TAMISEMI wajitafakari! Tazama wanafunzi wa under 18 wakiwa wanapangishwa mstari mchana kweupe ili wakajiandikishe kupiga kura!

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Nikiwa napiga round mbili tatu mtandaoni nimekutana na video hii ambapo wanafunzi waliotajwa kutokea shule ya sekondari wakiwa wanapangishwa mstari wakajiandikishe kupiga kura.

Mbaya zaidi kwenye hii video, huyu mzungumzaji anasema kuwa wanafunzi hao sio wakazi wa eneo hilo!

Mbona kama kuna chama fulani kipo kwenye panic mode?

Kwa irregularirties hizi uchaguzi utakuwa una usawa na haki kweli?

Back
Top Bottom