umeona goali la Papiss Cisse? ni Noma!
nimepitia huko kote mpaka kwa REO,Nimeambiwa niende Tamisemi.Nenda halmashauri ulikopangiwa waeleze sababu za ww kuchelewa then ukubali kuanza kz bila malipo wakati fedha zako zikisubiriwa toka hazina itategemea na aina ya mkurugenzi wako anaweza akaangalia means nyingine za kukufanya uishi kwa kipindi ukisubiri subsistence allowance yako na wakati unasubiria mshahara wako uanze ku flow toka hazina haichukui muda mrefu ndani ya miezi 2 utakuwa umeanza kupata mshahara wako