tamisemi watoa orodha ya watumishi waliohama vituo kwa vibali maalum

Joined
Mar 7, 2014
Posts
22
Reaction score
1
Tamisemi wametoa majina ya wafanyakazi wakiwemo waalimu waliohama vituo kwa vibali maalum leo hii mchana! Cha kushangaza ni kwamba hawatoi tamko lolote kuhusu watu waliokosa ajira!
 
Ata mie nimewashangaa sana hawa Tamisemi kunawalimu kibao bado tupo mtaani na mpaka sasa awajatowa tamko.
 
Tamisemi wametoa majina ya wafanyakazi wakiwemo waalimu waliohama vituo kwa vibali maalum leo hii mchana! Cha kushangaza ni kwamba hawatoi tamko lolote kuhusu watu waliokosa ajira!

Vp devotha nawe ni mhanga, kama vile nakufahamu
 
Daah,kumbe yatatoka baadhi tu,ndo yaleyale mkuu.

Mkuu acha tuombe mungu ila ujuwe nini kuna watu awajasomea education wanataka nao wapewe post kwa mfano mtu kasomea education of phylosoph anataka nae apewe post
 
Hapa kazi ipo,ila tuombe Mungu yote yawezekana.
 
yap mi pia ni mhanga! yawezekana unanifaham tatizo hilo jina ulilotumia silipati fresh
 
JAMANI NIPO CHINI YA MIGUU YENU NAOMBA MUNIANGALIE JINA LANGU KWENYE HAYO MAJINA YA KUHAMA kwa kibal maalum YALIYOTOLEWA NA TAMISEMI, nipo huku kiporini na simu yangu haina uwezo wa kuyafungua naitwa STEPHANO A.MOSHI,
 
Haumo kwenye listi mkuu,
 
kwani yapo majina mangap? pls acha utan nipo seriaus

Pls,hayakutolewa kinamba hivyo siwezi kujua idadi,ila kwaupande wangu mm nilivyo angalia kweli sija kuona,labda ngoja wadau wengine watakusaidia kucheki vizuri.
 
dah!natamani niwe roho afu nijue hawa tamisemi wanachokifikiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…