TAMISEMI: Watumishi wa Sekta ya Afya ni 41% ya mahitaji halisi

TAMISEMI: Watumishi wa Sekta ya Afya ni 41% ya mahitaji halisi

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Akiwa Bungeni Dodoma, Naibu Waziri wa TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Sekta ya Afya ina upungufu wa Watumishi na hadi kufikia Mei mwaka 2021, Watumishi waliokuwepo ni 41% ya mahitaji halisi

Ametaja baadhi ya sababu za upungufu kuwa ni kustaafu kazi, kufariki dunia na kuongezeka kwa idadi ya Vituo vya kutolea huduma za Afya Nchini. Amesema Serikali itaendelea kuajiri Watumishi kwa awamu
 
Back
Top Bottom