Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
taarifa zake ziko kwenye wizara husika. ukitaka kuzipata nenda wizaran omba report ya mapato na matumizi. simple as thatKwa nini za miamala waonyeshe vituo vya Afya watuambie Pia kodi za kwenye madini zimejenga nini, za luku %18 zimejenga nini, za majengo zimejenga nini, za mafuta ya kupikia zimejenga nini za mitungi ya gesi zimejenga nini, za mafuta ya gari zimejenga nini, tuachane na za wafanyabiashara(TRA kila baada ya miezi mitatu) hizo tunajua niza kula bata.
bado sikubaliani na huu upuuziAwamu ya kwanza ya Vituo vya Afya 90 kati ya 207 katika Tarafa zisizo na Vituo vya Afya, ambazo zimepokea fedha Mil. 250 kwa ajili ya ujenzi wa Jengo la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD), Jengo la Maabara na Kichomea Taka hii hapa.
View attachment 1901510View attachment 1901511
Hili tulifungulie uzi kupeana taarifaHapa sawa.... wakate tu. Ila pia ni vyema tukapewa mrejesho tuvione vituo hivo vikiwa vinaendelea kujengwa au kuwa na taarifa za kukamilika kwake. Na kamwe sitolalamika...
Go Mama
RIP our Father JPM
Kuna vifaa na wataalamu?Hiyo vituo vya afya vilikuwemo kwenye ilani ya CCM ama vimeibuka kama uyoga?
Mainjinia wa halmashauri, serikali inatumia mafundi ndio maana kazi chafu, wanakula 20% tu hakuna usimamiziMainjinia wananoa meno tu muda huu
Kabisa aseeMainjinia wa halmashauri, serikali inatumia mafundi ndio maana kazi chafu, wanakula 20% tu hakuna usimamizi
HIZO zingine wacha ziende kulipa mishahara kununua dawa na matumizi mengine ya serikali maana zote zikija kujenga zahanati mtalalamika hakuna mishahara nduguKwa nini za miamala waonyeshe vituo vya Afya watuambie Pia kodi za kwenye madini zimejenga nini, za luku %18 zimejenga nini, za majengo zimejenga nini, za mafuta ya kupikia zimejenga nini za mitungi ya gesi zimejenga nini, za mafuta ya gari zimejenga nini, tuachane na za wafanyabiashara(TRA kila baada ya miezi mitatu) hizo tunajua niza kula bata.
Jimbo la Dr Godwin mollel, Naibu waziri wa afya limetengewa fedha? Nimeuliza tuAwamu ya kwanza ya Vituo vya Afya 90 kati ya 207 katika Tarafa zisizo na Vituo vya Afya, ambazo zimepokea fedha Mil. 250 kwa ajili ya ujenzi wa Jengo la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD), Jengo la Maabara na Kichomea Taka hii hapa.
View attachment 1901510View attachment 1901511
Give them time. Why being so negative.Tatizo hayo ni makaratasi
Implementation ndio tatizo...
Wale ambao halimashauri zetu hazipo hatuhusikii na tozoo?Awamu ya kwanza ya Vituo vya Afya 90 kati ya 207 katika Tarafa zisizo na Vituo vya Afya, ambazo zimepokea fedha Mil. 250 kwa ajili ya ujenzi wa Jengo la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD), Jengo la Maabara na Kichomea Taka hii hapa.
View attachment 1901510View attachment 1901511