Tamko Jipya: Serikali ya Tanzania yalaaniwa na UN Human Rights Commission kuhusu suala la akina Mbowe

kakolo,
Ndugu hao jamaa tunawapa mwanya wa kutusema sisi wenyewe. Kwenye tukio lile ilitarajiwa polisi aliye/walio husika husika wachukuliwe hatuwa, mkurugenzi wa kinondoni naye si wa kuachwa pia. Unapo komaa na upande mmoja wa mbowe et-al, lazima vidole kama hivyo vikuelekee.
 
CCM wamepata cha kusingizia kuhusu suala la mikutano ya amani kwa kusema kuwa kuna COVID-19

In June 2016, Tanzanian President John Magufuli announced a ban on political activities until 2020. The ban remains in place with general elections scheduled for October this year.

The democratic and civic space has shrunk to almost nothing in Tanzania. Bans on political demonstrations are generally a disproportionate restriction on the right of peaceful assembly and may in practice be discriminatory.
The Government should immediately lift this ban, and abide by its international obligations to respect human rights, including the right to freedom of peaceful assembly and association, and freedom of expression.


Mwenyezi Mungu atunusuru na haya majanga bado tuna tafakali kuhusu CORONA tunakutana tena na kibanio cha umoja wa mataifa kabla hatujaekewa vikwazo vya kiuchumi na kuwa kama Zimbabwe Mkoloni mweusi hatupishe hatuachie nchi yetu arudi kwao chato
 
Hao human right hawawezi kutusubiri tumalizane na vita ya Corona kweli...?
au ni nyie 'nyumbu' ameamua kujitoa ufahamu...! lugha ni moja tu tumtoe huyu adui ...CORONA....basiiiiii...!
Huwezi kuitoa corona bila ya ushirikiano na jamii ya kimataifa
 
Criminalized legal system!! Ina maana kwa sasa hatuna hata mahakama.
 
Ungeweka na ya Kiswahili lumumba wakuelewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Isubiri itakuja.
Mnavyokuwa sio waelewa ndivyo mnavyokiuka taratibu au kanuni za mambo, habari imetoka UN kina waswahili huko? Mwananchi mwema ameleta taarifa wazalendo kwenye uwezo wa kusoma wasome sasa utataka iwe kazi kwake kusumbuka kutafasiri kwa wewe ambaye hukuenda shule?
Hill ni tatizo lako na Baba yako aliona watu wanapelekwa shule yeye alikupeleka wapi.
 
Waambieni kama wanawapenda Sana, wawachukue, wawape vyeo kwenye Secretariat yao. Otherwise, watuache kwanza tupambane na Corona.
 
MEKO hawezi soma kile kingereza, LABDA KABUDI AMTAFSIRIE.
kwanza sisi ni dona kantri, wata tufanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…