Tamko kwa Wanaume wa Dar

dah ila hii ni kweli aisee,na wakija huku mikoani wanajifanya kama ni watanzania grade, eti mpaka vizee vinatembea kitozi aisee, wanakuja misibani kuuza sura tu
Wanajifanya hata Lugha za asili wamezisahau...
 
Hiyo kweli wanakuja na mamiwani yao mweusi. wanaegemea magar tu utadhan yao kumbe wamedandia!!!! Shwaini kabisa.
Hawa jamaa wanambwembwe sana


Wekija eti wanasema hivi hapa mnaishije pakame hivi??? Pumbaaaafuuuuu
 
WAAACHE MKUU HATA JPM WATASEMA WA DAR mikoani wana wivu wa kijinga njooni dar mmekatazwa
 
Agizo kwa Wanaume wa Dar toka kwa Wanaume wa Mikoani.


Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika...

+Mkifika hamchimbi kaburi.
+Hamumlilii marehemu
+Hamumswalii marehemu
+Hamumfukii marehemu


Mnachokiweza na kukaa na kupiga soga. Mmefanya misiba ni vijiwe vya kuzungumzia siasa.


Sasa tunasema hivi. Msiba ukitokea mbaki huko huko . mkija hakuna mnalofanya..


Mfano:

#1. Hata ukifika muda wa chakula unasikia "Wageni kutoka dar waanze kula kwanza"

#2. Siku moja tupo tunachimba kaburi, Tukaletewa maji ya Kunywa ya chupa.. Mzee mmoja akasema "maji ya kunywa yamenunuliwa kwa ajili ya wageni wa dar tu"


Wanaume wa DAR utawataka kwenye mabasi ya mwendo kasi. Ni dakika 30 tu hadi town. Wanavyokimbilia kuwahi viti ili wakae ni aibu. Wamelegea mno jamani.




Kauli hii imetolewa na:
Umoja wa Wanaume wa Mikoani. Wanaotambua maana ya "Uanaume"

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawasiwasi kama wanaume wadar wataweza kutekeleza agizo la Mh. Raisi la kufyatua halafu yeye asomeshe watoto wote.
Kwa taarifa yako wanaume wa Dar wanasomesha wtt wao shule za private. Hizo [emoji357] [emoji357] [emoji357] fyatua wewe wakasome maana wanaume wa mikoani mnapenda vya bure.
 
Kuna mambo wanayaweza ambayo wanaume wa mikoani hatuyawezi mfano kulelewa wenyewe husema Marioo, kuchapwa vibao na mijimama inayowalea, kufua chupyi za wanawake wanaowalea, kudhalilishwa mbela za watu na hawajali maana wanajua wakilikorofisha wataolewa na wanaume.
 
ni wanaume wa dar mkuu
 
na kujichubua nyuso zao mkuu umesahau,wanaume wa dar chefu sana,
 
Ukiishi Dar zaidi ya miaka mitano unakuwa mwanaume wa dar
 
Wengi wanaozoza kuhusu wanaume wa dar humu na wenyewe pia wanaishi dar.

Maajabu haya..
 
Sasa umefikia wakati wa wanaume kuchekwa na wanawake,Kwann tunatupiana vidonge kama akina dada,mnajiita wanaume huku kila mmoja amrushia kidonge mwe zake.That's not fair[emoji16]
 
Umesahau kitu kimoja tu mkuu, ngoja nikiongeze. Nadhani umejisahaulisha kwa makusudi

+ Wanaume wa Dar wakija wanawamega sana dada na wake zenu.
 
Umesahau kitu kimoja tu mkuu, ngoja nikiongeze. Nadhani umejisahaulisha kwa makusudi

+ Wanaume wa Dar wakija wanawamega sana dada na wake zenu.
Hilo sina uzoefu nalo.. Sijawahi kumegewa dada wala mke na wanaume wa dar.
 
Umesahau kitu kimoja tu mkuu, ngoja nikiongeze. Nadhani umejisahaulisha kwa makusudi

+ Wanaume wa Dar wakija wanawamega sana dada na wake zenu.
Mkuu acha basi mambo yako, hivi mwanaume kama huyu anaanzaje kumtongoza mke/dada wa mkoani!!!!
 

Attachments

  • 1472878759743.jpg
    7.4 KB · Views: 48
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…