Chaimaharage
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 211
- 78
Prof.amedai bora uchaguzi 2015 ufanyike bila katiba mpya ili tuipate baada ya hapo. Ni wazi ameona kuwa ikipatikana katiba hiyo kabla ya 2015 nafasi ya CUF ni ndogo mno kushinda uraisi. Na pia hata waume zao(magamba) uwezekano wa kuendelea kutawala haupo, hivyo basi kwa kuwa yeye binafsi anafaidika zaidi na uwepo wa magamba madarakani anaona bora iwe hivyo. Waliberali wenzake kama wangejua huyu bwana ni hatari sana kwa ustawi wa chama chao na democracy wangemng'oa. Yeye ndiye anafaidika zaidi kaitika ndoa hii. kumbukeni matamshi yake yaliyo nukuliwa msikitini Kariako akionyesha bora magamba waendelee kutawala ilimradi raisi awe muislam.
sasa basi sijui kwa nini CUF hawamng'oi? au wanababaikia usomi wake? Kila mtu anajua bila katiba mpya uchaguzi ujao hautakuwa huru na wa haki kama chaguzi zilizopita na lazima magamba wataendelea kutawala lakini matokeo yake anasema uchaguzi ufanyike tu bila katiba mpya kwa kisingizio cha iandikwe kwa ufasaha zaidi, mbona rasimu tu imeonyesha mwanga mzuri? Kipi cha ziada sana cha kutusubirisha miaka yote hiyo?
wenye akili finyu wata muunga mkono. Nyie waliberali kuweni makini sana na mtu huyu. Ni ukweli usio pingika kuwa ana faidika na mfumo uliopo.