LGE2024 TAMKO LA MAIMAMU: Kuna kila dalili za kukosekana kwa Uadilifu ktk zoezi la uandikishaji kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Tamko lenyewe halijakaa kisomi. Maaskofu wakitoa lao nchi inatetemeka, serikali itahaha kujibu hoja. Hapo mwisho wa tamko wamejitambulisha kana kwamba si wasomi wanaojua kujieleza. Maimamu tanzania ndio nini?
Mbona kama unaitetea serikali?
Au ni huwapendi tu waislamu?
Au matamko yenye tija yanatakiwa kutolewa tu na wakristo?
 
Mitano tena
 
Wametimiza wajibu wao wa Kijamii na kiimani.

Mungu atawalipa kila lenye Kheri
 
Maimamu wa mtaa gani hao?

Hakuna hilo tamko, jaribuni tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…