LGE2024 TAMKO LA MAIMAMU: Kuna kila dalili za kukosekana kwa Uadilifu ktk zoezi la uandikishaji kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hawa ni BAKWATA?
 
Wameanza kujitambua Sasa.
 
Sasa kumekuchaa!
Sasa kumekuchaa!
Jogoo amekwisha wika Dodomaa!

Haka kawimbo kao haka, sijui kanataka kuwageuka?
 

Chama dola kongwe na utawala wake wakishindwa kusikiliza maoni ya wadau ikiwemo haya ya Maimamu wa Tanzania basi CCM imeamua kupora uchaguzi mzima na nchi itaelekea pabaya.
 
Ndugu zangu katika Imani mmeanza kujitambulisha sasa.

Sote kwa pamoja tuseme takbiiiir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…