Tamko la Marekani baada ya kesi ya Freeman Mbowe kufutwa

Shame on you!
 
Reactions: Qwy
Balozi ni mnafiki, walikuwa wakikosoa sana utawala wa JPM na kutoa matamk kila kukicha. Ila Mbowe alipokamatwa na kupewa kesi ya ugaidi, na wao wenyewe wakiwa wanajua, alitweet na kinafiki na kusema mahakama iachiwe ifanye kazi
Aende zake ukraine wanamsubiria zeruzeru wanafiq sana.kesi inapoendelea ni kama hawapo ikiisha wanasema. Aliogopa kuathiri uwepo wake tz.
 
Mkuu umeumizwa na nini kwa Mbowe kuachiwa?
 
Reactions: Qwy
Mungu Mbariki,Mama Samia,Rais mwenye upendo kwa raia wake,Rais msikivu,Rais anayejali raia wake.
 
Serikali gani inamwachia gaidi atambe mtaani? Aibu yenu wapambe pro
 
Wao mbona wanamkazia Putin kila uchao?!!!

#Siempre JMTπŸ™
 
Huyu mama nae amekuwa muogaaaaa,
Angekuwepo magu
gaidi asingetoka kirahisi rahisi hivi
Ila sio mbaya amesota sana
 


Mpuuzi tu wewe, unafikiri angekuwa na hayo yote si angefungwa basi, mbona kaachiwa huru?
 
Haya ni maneno ya mtu mnafiki asiyetaka kusema ukweli ili asionekane mbaya. Hii ni kwasababu USA wametega mitego ya kuinyonya TZ.
 
Kama walivyotengeneza amani Ukraine, au siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…