Tamko la Marekani baada ya kesi ya Freeman Mbowe kufutwa

Umekula
 
Balozi ni mnafiki, walikuwa wakikosoa sana utawala wa JPM na kutoa matamk kila kukicha. Ila Mbowe alipokamatwa na kupewa kesi ya ugaidi, na wao wenyewe wakiwa wanajua, alitweet na kinafiki na kusema mahakama iachiwe ifanye kazi
Hakuna mtu mwenye akili timamu ambaye hakuwa akikosoa utawala wa Jiwe.
 
Wewe ndio mvuta bangi na mhalifu kweupe.
Kubana kote mwisho kuachilia!!
 
Subiri akushangaze, moto ndiyo umewaka na hamasa ziko juu. Jinsi lile Jiwe linavyoendelea kuoza ndiyo uhuru wa kutoa maoni unavyozidi kishamiri, sasa kutofautiana kiitikadi si jinai tena kama ilivyokuwa enzi za Mrundi.
Nchi imerudi kwenye uhuru na furaha kwa raia wote.
 
Marekani sio wa kuaminika

Wamemdanganya Ukraine sasa anapokea kipondo.
 
Mbona hawakufuta makosa ya Osama, America ikiguswa inakuja juu, ikiona ushenzi kwingine inakaa kimaslahi, kama kweli Mbowe ni gaidi anasamehewaje?

Msiwe mnaleta maneno ya wamarekani ktk jambo la waTanzania
 
Roho mbaya na ukatili wake ndiyo vilisababisha hayo yote.
Hawa wanawe leo wamenuna kweli Mbowe kuachiwa, kama wanachuki kihivyo kwa Samia si wahame waanzishe chama chao? Sijui why wanakomaa na Mkiti ambaye hawampendi
 
Reactions: Qwy
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…