Tamko la Marekani baada ya kesi ya Freeman Mbowe kufutwa

Pumbafu
 
Ushauri wa bure sasa ni bora akalee wajukuu. Aache tabia ya kuajiri wahalifu, wauza madawa, wavuta bangi, majambazi n.k

Sasa tutamfuatilia nyenendo zake hadi chooni

Kingai acha kujifariji..
mmepigwa KO... mbowe hajasamehewa,, mmeona aibu... Mngeaibika..

Next time uongo wekeni vizuri...
 
Kingai acha kujifariji..
mmepigwa KO... mbowe hajasamehewa,, mmeona aibu... Mngeaibika..

Next time uongo wekeni vizuri...
kumbukeni kesi "haijafutwa" bali "imeondolewa", hivyo lazima mjifunze maana ya misamiati hiyo hapo miwili.
lakini pia kumbukeni kesi ya Jinai "haiozi" wala "haichachi"
ni suala la muda tu......
 
kumbukeni kesi "hajafutwa" bali "imeondolewa", hivyo lazima mjifunze maana ya misamiati hiyo hapo miwili.
lakini pia kumbukeni kesi ya Jinai "haiozi" wala "haichachi"
ni suala la muda tu......
Ndugu mpendwa,
Yaonekana ni KAMA VILE umejawa chuki na hila zisizoisha. Yaliyotokea yatakiwa kukukumbusha kuwa Mungu wa haki yu atenda kazi.
Maisha ni mafupi, kabla haujachelewa enenda ukatubu ili upate nguvu na ujasiri wa kumkemea na kumkataa shetani na mambo yake yote.
Mungu ni mwema atakupokea na kukufanya kiumbe kipya. Pia wa uzao wako wataepushwa na laana waliokuwa wanabebeshwa. AMEN.
 
Hata mbowe ataacha ujanja ujanja ambao anadhani bado ni mtoto
Nadhani sasa atafuata sheria bila shurti
Hajawahi kuwa mjanja mjanja labda wale mambwa wa SSH wanaojipendekeza ndio wanaoharibu nchi
 
Tumia akili japo kidogo utaelewa, ni kwamba tweet ni ya kwake yeah na si official tweet ya ubalozi. Point ni kwamba hawezi ku post kitu kisicho reflect msimamo wa nchi anayoiwakilisha kwani ni mteule aliyekula kiapo na anajua consequences za ku post kinyume na msimamo wa nchi yake.
 
hiyo sala ni vyema ukamuombea Mbowe ili abadilike aachane na mikakati ya kihalifu ktk nchi. abadilike na atubu kwa maovu yake hata kama hayajadthibitishwa na mahakama.
 
hiyo sala ni vyema ukamuombea Mbowe ili abadilike aachane na mikakati ya kihalifu ktk nchi. abadilike na atubu kwa maovu yake hata kama hayajadthibitishwa na mahakama.
Ndugu yangu,
"Laana ya Bwana i katika nyumba ya waovu, Bali huibariki maskani ya mwenye haki. Hakika yake huwadharau wenye dharau, Bali huwapa wanyenyekevu neema". Mithali 3:33 - 34 AMEN
 
kumbukeni kesi "hajafutwa" bali "imeondolewa", hivyo lazima mjifunze maana ya misamiati hiyo hapo miwili.
lakini pia kumbukeni kesi ya Jinai "haiozi" wala "haichachi"
ni suala la muda tu......

Mkuu kwani wewe ulitakaje??? ulipendelea waliofurahi wafanye nini??.. wasikitike

Maisha ni leo,,, hio siku ikifika watapambana tena.. kwani una uhakika gani huo muda ukifika mambo yatabadilika?
 
Ipo haja ya wote waliobumba kesi hii ya uongo wachukuliwe hatua. Wakiwemo siro, kingai, mahita jumanne gudlack majaji na mahakimu wote waliojiingizia pesa haramu kama posho mbalimbali za kushiriki kesi ya uongo na kuitia hasara kodi yetu.
Hio gharama ya kuendesha kesi si ingenunua hata madawati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…