Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Tusubiri mpaka lile dili lake la umeme wa upepo kule singida litakapokubaliwa na Tanesco na kuingia naye mkataba wa kifisadi na wizara ili apate mshiko that is what he wanted, otherwise atapiga domo...utafikiri ameng'atwa hana jipya "opportunistic na fisadi"
Kama mambo yako hivo atakuja kutamka nini zaidi kukaa kimya...atakuwa hana maslahi...kwasababu ukiona anapiga kelele ujue ana maslahi...au kuna watu wanataka kuchukua kikombe chake.wewe inaelekea eidha umelalaau ndio habari za ndani aka nyeti hujazipata
walewa Korea wameamua kupunguza shares za mwakyembe and Co kwani wao walitaka kufanya mambo kama wafanya biashara akina MWAS waliamua kuplay politics ...ilifika point jamaa hadi kuwaona wahemishiwa ilikuwa ngumu na haliilitengemaa baada ya kumwomba Ban awasaidie kwenye ile party iliyofanyoka NY mwezi wa 4
mienasubiri kwahamu sana tamko lake huyu MWA
Kama mambo yako hivo atakuja kutamka nini zaidi kukaa kimya...atakuwa hana maslahi...kwasababu ukiona anapiga kelele ujue ana maslahi...au kuna watu wanataka kuchukua kikombe chake.
Kutengeneza allies ili wote watengeneze umeme? Hapo atakuwa jasiri kifisadi....anything can happen..kama alitaka kuwa business man nafikiri anaweza kuendelea kutafuta allies wengine pengine usishangae "Chinese company ika side na MWAswadakta
sasa hii ya kuja na sura ya eti ohhh wapiganaji mara ohh sijui hatutaki umeme wa Dowans wao wanajua...mtego wenyewe ni upi na kwa jinsi ulivyokaa nadhani hawana namna sasa hivi inabidi waanze kurekebisha na kutengeneza allies
2. Harrison Mwakyembe – a frustrated intellectual turned political mercenary. Among the three "Mwas" giants from Mbeya (Mwakyembe, Mwandosya, and Mwakyusa), he is the least accomplished despite his somewhat decent schooling. Eager to play in Serie A like the other Mwas, he is up for sale, and price could be as low as the Deputy Ministerial portfolio. He surprised many who thought highly of him by presenting his Richmond report to the House without the decorum befitting his personage and reputation and by including references to Kubenea incident that did not have anything to do with a power deal he was asked to investigate. However, he is clever enough to know that Tanzanians have such a short attention span and his 15 minutes will be over soon. One thing is clear: he will go down the way of another sensational Mbeya politician, Njelu Kasaka, who shook the nation in the 1990s and got the audacity to run for President in 1995 while his 15 minutes were up.
Huyu mheshimiwa aliwahi kusema kuwa "hatokosa usingizi na hatojali kama taifa letu tukufu likiingia kwenye giza kwa kukosa umeme"
Nadhani its about time na yeye aje atoe tamko lake kwa nini yeye anaona ni sawa kwa waTanzania na baadhi yao wapiga kuwa wake kuendelea kukosa umeme na huduma zingine muhimu.
Mashabiki wake ambao wanajiita wapiganaji waliopo USA,ULAYA na CANADA najua watakuja kumtetea lakini nadhani itakuwa si vibaya kwa huyu bwana Mwakyembe akaja kutoa tamko ili tujue maoni yake kuhusu hii adha, je imebadilika au la?
This senseless polarization cannot pass unprotested.
there are people in those named regions who root for Mwakyembe, equally, there are those in these very places who despise him.
Conversely, there are people in Tanzania who root for the MP, as well as those in Tanzania who do not like him.
So why the senseless and baseless polarization? Wewe kama umeamua kurudi bongo au umerudishwa au whatever the case is that is your issue, kwa nini kuwa pigeonhole an entire mass of Tanzanians just based on where they are?
This just exposes your shallow thinking and lack of honesty where you can do much better to elevate the level of discourse on these fora.
Mbona hii habari ina habari sana ndani yake ? Kuna mtu yuko bongo sasa anaugulia ama ?Haya wacha niendelee kusoma hili bandiko
wewe inaelekea eidha umelalaau ndio habari za ndani aka nyeti hujazipata
walewa Korea wameamua kupunguza shares za mwakyembe and Co kwani wao walitaka kufanya mambo kama wafanya biashara akina MWAS waliamua kuplay politics ...ilifika point jamaa hadi kuwaona wahemishiwa ilikuwa ngumu na haliilitengemaa baada ya kumwomba Ban awasaidie kwenye ile party iliyofanyoka NY mwezi wa 4
mienasubiri kwahamu sana tamko lake huyu MWA
Huyu mheshimiwa aliwahi kusema kuwa "hatokosa usingizi na hatojali kama taifa letu tukufu likiingia kwenye giza kwa kukosa umeme"
Nadhani its about time na yeye aje atoe tamko lake kwa nini yeye anaona ni sawa kwa waTanzania na baadhi yao wapiga kuwa wake kuendelea kukosa umeme na huduma zingine muhimu.
Mashabiki wake ambao wanajiita wapiganaji waliopo USA,ULAYA na CANADA najua watakuja kumtetea lakini nadhani itakuwa si vibaya kwa huyu bwana Mwakyembe akaja kutoa tamko ili tujue maoni yake kuhusu hii adha, je imebadilika au la?
mwakyembe bana kumbe kelel zote zile na wewe una kampuni lako la umeme wa upepo..hahaaaaaaaaa