Tamko la Mwakyembe juu ya mgao wa umeme

Akito tamko lake,then kipi kitakachofuatia tatizo litakwisha?
 

Actually the man was right, Hatuwezi kila mara kuingizwa kwenye mikataba ya kifisadi eti tu kwa kuwa tunahitaji umeme wa dharura. What for, this is stupid.

Mwakyembe was right, na bado kauli yake ina nguvu. Ni bora tuendelee kubaki gizani kuliko kuendelea kulipia ufisadi wananchi wakinyonywa na gharama za maisha zikipanda kila kukicha.

Nadhani wewe GAME THEORY ungewapelekea watoto wa chekechekea hii topic kwa kuwa hawawezi ku reason wangeipokea. But for intelelctuals umedunda
 
Ni kweli kabisa mkuu.Badala ya kufanya kazi kuondoa adha ya umeme iliyodumu kwa muda mrefu sasa, tunakaza kulazimisha kwamba mitambo ya Dowans is the only solution. What about IPTL ambayo imekaa bila kuzalisha umeme kwa zaidi ya mwaka sasa? Na yote haya yanatusumbua sasa kwasababu ya rushwa na tamaa za watu wachache wakishirikiana na wana siasa. Imefika mahala sasa siasa zikae pembeni, tuanze kufanya kazi kama watu wenye vichwa vyenye kufikiri.Hizi danadana za kutafuta justification ya kitu ambacho siyo sahihi hazinisaidii mimi binafsi na naamini na wengine wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…