Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
Sugu ni mwanasiasa mpumbavu ambaye laiti angejua ushawishi aliokuwa nao kwa vijana wajinga kama wewe asingeridhia alichokifanya!!!utafiti unaonyesha kajiporomosha na clouds kaipandisha!hizo kura alipewa za huruma tu ila jamaa ni boya ushamba upo damunikwaio na wewe p.h.d ulimpokea Sugu?
Aisee!kumbe wasanii wenzake mnamuonea kijicho namna iyo,sikuwai kufikiria hii.
Sugu ni mwanasiasa mpumbavu ambaye laiti angejua ushawishi aliokuwa nao kwa vijana wajinga kama wewe asingeridhia alichokifanya!!!utafiti unaonyesha kajiporomosha na clouds kaipandisha!hizo kura alipewa za huruma tu ila jamaa ni boya ushamba upo damuni
unajua we Hemed, nyie wasanii wa bongo wajinga sana,ebu cheki ulichokiandika hapo juu,kwaio we unaona ujanja ni kujiremba na kutoa jicho kama unavyofanyaga??..usikulupuke kwa usilolijua utajichoresha tu mbele ya safari.kama Sugu kashuka na clouds ndio imepanda muda ndio utaongea.
Vijana wanarun town wazee kama sugu na mkoloni wanapanic!its tym for young blood...sijawahi kushangaa vinega wote ni aidha wageni mjini,hawapati pesa ya show,sura komavu,no swagga,hawapendezi na mavazi,hawamiliki mademu wakali!.....anti virus movement ilikuwa movement ya watu wenye stress!
na Hemed nae ana-run town?
Ivi nyie mashalobalo mnafikiri kupiga makelele na kujipodoa ndio kukimbiza mji!!
Kwanza wasanii wa kibongo njaa tu,mnaficha shida zenu na njaa zenu kwa pamba na kujiremba...hamjitambui kabisa...mnapoibuka kwenye majoint huwa tunawachora tu mnavyojitutumua..we ata usafiri hauna,ata chumba umeshindwa kupanga alafu unasema unarun town..wapi!!
Watu wametulia tu ila wana visu vibaya sana,na hawaigizi wanafanya maisha ya kijanja kiukweli.
Unajaribu ili niweke maisha yangu hapa!!!umefail....f.y.i pesa nayoingiza siitumii natumia pesa za dadazako wanaoleta shobo sasa uliza pesa nazopata zipo wapi?ask.....bank!ndo utajua watu wakisema wanarun town nini wanamaanisha!halafu mimi siyo P.H.D kama unavyodhani!
Hivi ku-run town maana yake nini? Ma mc waoga ma-mc mashoga ni so absurd and pathetic, madogo wananyooshwa marinda kinoma and yet they think they run th faking siti...... 'Upumbavu ni kipaji kama urefu/ufupi' J. K. Nyerereduh we kweli mjanja!!
Unarun town kwa pesa za dada zetu!!!?kweli hakuna anaekuweza hapa mjini ata wewe unajua.
Hivi ku-run town maana yake nini? Ma mc waoga ma-mc mashoga ni so absurd and pathetic, madogo wananyooshwa marinda kinoma and yet they think they run th faking siti...... 'Upumbavu ni kipaji kama urefu/ufupi' J. K. Nyerere
mpuuzi kamanda wetu sugu