hivi mtu akikiri kosa lazima ajiuzuru?Jamani nadhani tujifunze utamaduni wa kujiuzuru, kama kakili kosa basi awe tayari kuachia ngazi, kuna watanzania zaidi ya mil 40. Wapo watakaoweza ilinda katiba yetu. Asamehewe kwa sababu kakubari makosa si sababu ya kuachiwa, huyu Mh Pinda ameisha toa kauli tata nyingi mno tokea aingia madarakani....hapa sasa he shouls swallow the bitter pills....
Ama kweli AACHILIWE BARABA NA YESU KRISTO ASULUBIWE!Kazi kubwa ipo mbeleni iwapo PM anakuwa na uwezo mdogo hivi, atawezaje kutia chachu ya maendeleo? Heri ya Lowassa!!!
Jamani nadhani tujifunze utamaduni wa kujiuzuru, kama kakili kosa basi awe tayari kuachia ngazi, kuna watanzania zaidi ya mil 40. Wapo watakaoweza ilinda katiba yetu. Asamehewe kwa sababu kakubari makosa si sababu ya kuachiwa, huyu Mh Pinda ameisha toa kauli tata nyingi mno tokea aingia madarakani....hapa sasa he shouls swallow the bitter pills....
Jamani nadhani tujifunze utamaduni wa kujiuzuru, kama kakili kosa basi awe tayari kuachia ngazi, kuna watanzania zaidi ya mil 40. Wapo watakaoweza ilinda katiba yetu. Asamehewe kwa sababu kakubari makosa si sababu ya kuachiwa, huyu Mh Pinda ameisha toa kauli tata nyingi mno tokea aingia madarakani....hapa sasa he should swallow the bitter pills....
Sidhani kama anaweza kutoa hotuba ya namna hii:
a. Kwanza si kawaida ya CCM kukiri makosa na kuyakubali kuwa ni kwao (sikumbuki kiongozi aliyekubali kosa lake bila kulirembaremba)
b. Akikubali namna hiyo anajiweka vulnerable huko mbele ya safari
c. Akikubali makosa namna hiyo na kwa uhuru huo atapata nguvu kubwa mno Bungeni na kwenye jamii. Kitu ambacho kitafutanya sisi wengine kukosa la kusema!
So, ingawa yawezekana kuwa kweli lakini siamini kama kuna mtu anaweza kumshauri au hata kumshawishi Waziri Mkuu kutoa tamko kama hilo.
Msisahau shule za sekondari za kizima moto kwenye kata zenu, ambazo hazina waalimu, Lowassa for PM
Yaani hata Nyerere......?
Nyerere ndiye pekee aliyefanya hivyo:
aliandika kitu kinachoitwa "Tujisahihishe" sidhani kama kuna mwana CCM hata mmoja anayekumbuka.
alipohutubia kwenye hafla ya kumuaga ilioyaandaliwa na Jeshi la Magereza mwaka 1985 alipima mafanikio na makosa yake kwa kadiri alivyoyaona.
alipima tena mafanikioo na mapungufu ya utawala wake 1995 kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya, siku ya Mei Mosi.
siyo tu alikubali but he owned them kwa maneno "tusifanye makosa sisi kwani sisi malaika sisi?"
well, naombea Pinda anaweza akawa jasiri kiasi hicho..
Acha kamba mzee...Nyerere aliwahi kukiri lini kuwa alitolostisha? zaidi ya "tujisahihishe" ambapo alisemea kwa viongozi wote yeye kama yeye JKN aliwahi wapi kukiri.....unajua Nyerere alitulostisha sana.....Nyerere ndiye pekee aliyefanya hivyo:
aliandika kitu kinachoitwa "Tujisahihishe" sidhani kama kuna mwana CCM hata mmoja anayekumbuka.
alipohutubia kwenye hafla ya kumuaga ilioyaandaliwa na Jeshi la Magereza mwaka 1985 alipima mafanikio na makosa yake kwa kadiri alivyoyaona.
alipima tena mafanikioo na mapungufu ya utawala wake 1995 kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya, siku ya Mei Mosi.
siyo tu alikubali but he owned them kwa maneno "tusifanye makosa sisi kwani sisi malaika sisi?"
well, naombea Pinda anaweza akawa jasiri kiasi hicho..
Ndio nasema Pinda ni best kwa kukiri makosa zaidi ya Nyerere.....Heheheheee...kwa hiyo alipima makosa na mafanikio wakati akiondoka...vipi wakati bado yuko mtawala...? alikubali makosa yoyote yale?
Watanzania bwana.......yaani watapiga porojoo weee kakiri wazi nimemsikia na katoa machozi.....sasa mnataka nini? kuna mambo mengi ya kujadili sio hili
Atubu kwa Mungu kwa uongo na kuomba radhi pia kutokana na kauli yake kuhusu Meremeta. Maana siku ile pia alitaka kulia. Na papo hapo aongeze kasi ya kuchua hatua juu ya maazimio ya bunge kuhusu Richmond. Tutamsamehe.
Lakini mbona kuna ambao wapo kwenye orodha ya mafisadi bado wanaendelea kupeta tu humo serikalini?
Asha
So unamaanisha pinda atolewe kafara kwa statement aliyotoa?..and why?...kwa nini msiseme hao watu wanaouwa viumbe vya watu wasipigwe makafara au hao mafisadi...Atubu kwa Mungu kwa uongo na kuomba radhi pia kutokana na kauli yake kuhusu Meremeta. Maana siku ile pia alitaka kulia. Na papo hapo aongeze kasi ya kuchua hatua juu ya maazimio ya bunge kuhusu Richmond. Tutamsamehe.
Lakini mbona kuna ambao wapo kwenye orodha ya mafisadi bado wanaendelea kupeta tu humo serikalini?
Unajua akishatolewa kafara huyu, tutajenga utamaduni wa kuchukua hatua kwa maneno na matendo ya viongozi wetu kama tukio la Lowassa kujiuzulu lilivyoamsha shauku zaidi ya kuwabana mafisadi. Ila binafsi naweza kumsamehe Pinda akifanya mambo hayo hapo juu manake huyu ni bora mara kumi ya Kikwete
Asha