Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #41
Heheheheee...kwa hiyo alipima makosa na mafanikio wakati akiondoka...vipi wakati bado yuko mtawala...? alikubali makosa yoyote yale?
So unamaanisha pinda atolewe kafara kwa statement aliyotoa?..and why?...kwa nini msiseme hao watu wanaouwa viumbe vya watu wasipigwe makafara au hao mafisadi...
Hili ni kosa la kwanza la PM wetu kama akikosea mara ya pili yeah..."fool me once shame on you fool me twice shame on me"....si kwenye bible i think kitabu cha Peter kinasema mungu alisamehe mara 70..kwa nini na sisi tusimsamehe kwa kughafrika kwake
ok as long as ni binadamu hawezi kuwa perfect katika matendo yake ya kila siku.
amekosea,amekiri,muacheni aendelee kuchapa kazi.
Hii ndiyo gharama ya kuwa Kiongozi, lazima viongozi wetu wajue kuwa kuongoza si kukaa katika Ofisi, kulipwa marupurupu na kusign maazimio ni pamoja na matendo na kauli zako. Kama pinda akifanya hivi basi huu utakuwa mwanzo mzuri wa kuutazama uongozi kihuduma zaidi ya kibiashara na faida. Maana kama wewe kichwa chako hakipo sawa ni lazima utakataa ofa kama hizi kwa kujijua uwezo wako, badala ya kukimbilia ulaji unaweza kukutokea puani badae.
Siku zijazo katiba yetu itoe muda wa kuwajadili viongozi kama hawa zaidi kabla ya kuthibitishwa na bunge na kuwaapisha. Nina uhakika kabisa akili kama hizi (ambayo ilimpata pinda kwa muda) wengine wanazo forever ndizo zinzoturudisha nyuma kimaendeleo.
Mwisho kama ni kweli Pinda atatoa tamko hilo basi JF na Mwanakijiji na wachangiaji wote tunastahili credit kwani ukiangalia tamko limechukua baadhi ya vipengele humu na kuvifanyia kazi. "HUO NDIYO UONGOZI"!!!
I agree, our holy book speaks about forgiving Pinda: Hadith - Qudsi 1, Hadith - Qudsi 31, Hadith - Qudsi 34, Sûrah an Nûr 24:22, Sûrah ash Shura 42.40, Sûrah ash Shura 42:37
After all what he has said is warranted by: Sûrah al Isra 17.33, this allows for the just cause of killing the murders of albinos(of cause after due legal processes).
Asha
Watanzania bwana.......yaani watapiga porojoo weee kakiri wazi nimemsikia na katoa machozi.....sasa mnataka nini? kuna mambo mengi ya kujadili sio hili
...Wee Mkuu, umeona machozi ndio kipimo cha kupimia his Sincerity? Machozi? ustake ncheke! Mbona actors wetu are doing the machozi thing all the time! It is just Plain acting!! Ni vibaya sana kuongozwa na mtu ambaye anaruhusu hisia zake kutake over his common sense. You never know what his hisia will make him do next time! He shud' GO!
Yaani imefikia hatua ya kumpangia Waziri Mkuu hotuba..... HayaSidhani kama anaweza kutoa hotuba ya namna hii:
a. Kwanza si kawaida ya CCM kukiri makosa na kuyakubali kuwa ni kwao (sikumbuki kiongozi aliyekubali kosa lake bila kulirembaremba)
b. Akikubali namna hiyo anajiweka vulnerable huko mbele ya safari
c. Akikubali makosa namna hiyo na kwa uhuru huo atapata nguvu kubwa mno Bungeni na kwenye jamii. Kitu ambacho kitafutanya sisi wengine kukosa la kusema!
So, ingawa yawezekana kuwa kweli lakini siamini kama kuna mtu anaweza kumshauri au hata kumshawishi Waziri Mkuu kutoa tamko kama hilo.
Kwa hiyo bado mnataka ajiuzuru?
Yaani imefikia hatua ya kumpangia Waziri Mkuu hotuba..... Haya
Kiswahili unakifahamu vizuri... sidhani kama nimetumia tungo yeyote ambayo ni tata hapo.
1. Waheshimiwa Wabunge na Watanzania wenzangu; maneno yaliyonukuliwa katika vyombo vya habari ni maneno niliyoyasema na yamenukuliwa kwa usahihi (pause).
2. Ni maneno ambayo nimeyatoa kutoka moyoni mwangu hasa na yamezingatia ukweli wa dhamira yangul.
3. Baada ya kukutana na kuona adha ya mauaji ya kinyama yanayoendelea nchini nilitoa kauli ambayo ilisema kuwa wananchi wakiwakuta watu waliofanya vitendo vya mauaji ya albino basi wawaue watu hao papo hapo na hakuna haja ya mahakama.
4. Nasimama mbele yenu kwa heshima kubwa na taadhima na kukiri kuwa kauli hiyo niliitoa kimakosa, ni kauli iliyotolewa kwa pupa na ilitolewa kutoka katika hazina ya vionjo na hisia.
5. Nasimama mbele yenu nikijuta kutoa kauli hiyo ambayo madhara yake baada ya tafakari ni kuruhusu uvunjaji wa sheria nchini na kutoa kibali kwa kufanyika kile ambacho tunataka kukomesha nacho ni mauaji ya mtanzania mmoja katika mikono ya mtanzania mwingine nje ya utawala wa sheria. Nafuta kauli yangu na kuiondoa bila 'qualification" yoyote.
6. Ninaifuta kwa sababu natambua kuwa (niseme nilipaswa kutambua.) kuwa kauli hiyo inaweza kuchukuliwa kama kuhalalisha watu kujichukulia sheria mikononi na kwa hakika ingechukuliwa hivyo kwa haki.
7. Ninaifuta kwa sababu kama Waziri Mkuu wenu niliapa kulinda Katiba yetu ambayo imeweka wazi umuhimu wa mgawanyo wa madaraka, uzito wa utawala wa sheria, na uwezo wa vyombo mahakama tu kuhusika na maamuzi yanayohusiana na utafutwaji wa haki.
8. Ninaifuta kwa sababu nimeapa kulinda Katiba hiyo na siyo hisia zangu binafsi.
9. Ninaifuta pia kwa sababu kama kiongozi wa serikali ni jukumu langu kutumia uwezo wangu wote na elimu yangu yote kuhakikisha taratibu na sheria zetu zinafuatwa na kila mtu, nikiwemo mimi.
10. Naomba niahidi kuwa niko tayari na nimedhamiria kuhakikisha kuwa nchi yetu inaendeshwa kwa kufuata utawala wa sheria kwa gharama yoyote ile.
11. Kama binadamu sisi sote hutekwa na hisia na wakati mwingine vionjo vyetu vinatuzidi nguvu.
12. Ndiyo ilivyokuwa kwangu na ninaomba radhi na msamaha Watanzania wenzangu kwa maneno yangu hayo ambayo kwa kiasi kikubwa yamehoji uwezo wangu wa kusimamia sheria au utawala bora.
13. Hata hivyo, endapo Bunge lako tukufu litaona kuwa sistahili kuendelea na wadhifa huu linaweza kupiga kura ya kuwa na imani au kutokuwa na imani nami.
14. Naomba nitoe hoja Mhe. Spika Bunge lako lifanye hivyo ili kuondoa kiwingu chochote ambacho nimesababisha kitande.
15. Kama halitafanya hivyo nimemuandikia Mhe. Rais barua ya maelezo yangu na kuomba radhi kwake pia na ninatumaini ataendelea kuniamini katika wadhifa huu mkubwa wa kuitumikia nchi yetu.
Mizengo Kayanza Peter Pinda(MB)
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Yaani sijui nikupe nini ypu have said it all..mimi binafsi nina ndugu yangu mbaye ni albino na ninaumia sana kuona watu wengine wanashabikia na kauli ya PM....Dear Mwanakijiji,
I do respect your views, but I beg to disagree with you on this matter of the PM's resignation.
Why don't you assume that the PM has been overwhelmed by the ongoing killings of the Albinos and that's what led him to that statement. I have tried to imagine if one of us had a close family member who happened to be an Albino and suddenly disappeared? How would you retaliate if you catch a person on the process of trying to kidnap your family member? I rarely post articles on this forum, but I felt compelled to add my few cents.
I am worried sometimes how the opposition parties react to some issues. Their solution is always for one to resign, but instead of accepting it as a human error and lay down their solution to the problems. Any caring citizen who believes in humanity would react the same way the PM did. I would rather accept his apology and unity to find solutions to this problem, which is becoming a national crisis.
I think there is a need of declaring a national crisis that requires collective efforts to fight the perpetrators. This is not a time to gain political leverage on the expense of the Albinos. All interest stakeholders have to come together and find a solution. I would have been so impressed if Dr. Slaa himself would take initiative and host some albinos from his own constituency.
At least Waziri Mkuu has adopted a child who might have become a victim and another number. Resignation would not solve the problem. I am not defending his statement, but the statement does not require his resignation. We should bear in mind resignation is also costly for our nation.
Lets leave our politics aside and work for a solution.