KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Mbona kama NIDA bado haieleweki hata baada ya rais kutoa tamko kule morogoro kwa kumtaka mkurugenzi wa NIDA kutatua changamoto hii ya upatikanaji wa huduma ya vitambulisho vya taifa..?
Nini mrejesho wa NIDA kuhusu utekelezaji wa kusambaa wilaya zote ili watu wapate vitambulisho kabla ya azimio la kufungiwa laini zao bila kusajiri kwa vidole na kitambulisho Cha NIDA..?
Wanatuweka juu juu,watu hatuna vitambulisho na muda nao unayoyoma.. wajiandae kisaikolojia kupambana na usajili batili Kama Mambo yataenda hivi.
Pia Kuna kuja kuingia mgogoro na makampuni ya simu Kama wakifungia wateja ambao hawajajisabiri,hili swala Kama halipo kisiasa kwanini upatikanaji wa vitambulisho vya taifa unakuwa wa kusuasua..?
Au mpaka atoke mbuzi wa kafara ndo mambo yaeleweke!
Mnatupa tabu.