Tamko la Umoja wa Kizazi cha Kuhoji(UTG) kuhusu hali ya usalama nchini na kupotea kwa Ben Saanane

Hivi tuna akili kweli?badala ya kuzungumzia wasiotakia taifa hili mema wanaoua wapiganaji wetu walinzi wa jamhuri mnatuletea mambo gani?Miserable horse!
 
Huyu Malisa anafanya mzaha na uhai wa mwanadamu. Kesho yatamfika yeye au mtu anayemhusu. Nimemwambia hapo juu. Huwezi kumuua mtanzania kwa sababu za kisiasa ndogo kama za hapa kwetu. Kabombe Mungu anakuona, na atakuhukumu! Yathamini maisha ya mtu, kijana kama wewe!
 
Jalibu kufatilia mkuu

Ni mengi sna yamefanywa na UTG khs kumtafuta Ben

Nakumbuka kuna press walifanya pia

Wao ndio walieta hashtag ya [HASHTAG]#BringBenAlive[/HASHTAG]
Nimekusoma mkuu

Mungu amsaidie huko aliko,
 
Yuko wapi mwenye akili, HEKIMA na macho ya kuona atafakari mambo haya? Napata wasiwasi kama kutakuwa na kiongozi mwenye hekima aweze kuyatekeleza mapendekezo haya?
 
Oooh basi sawa

Sasa hili ni tamko la ngapi tangu atoweke ben?
Shida kubwa ya nchi hii ni kuwa na wajinga wengi wanaojifanya wajuaji. Mtu anahoji UTG ilikua wapi, wakati andiko linaelezea hatua ambazo UTG imechukua tangu siku ya kwanza iliporipotiwa Ben kapotea. Tangu mwezi November UTG imechukua hatua mbalimbali na wameeleza yote kwenye hiyo taarifa yao. Taarifa pia inaeleza Press conference walizofanya na hatua zilizochukuliwa. UTG pia ndio waliofungua jalada polisi kwa kushirikiana na familia ya Ben kama hatua za awali baada ya Ben kutokuonekana. Lakini mtu mmoja kwa uvivu wa kusoma anaibuka na kuuliza maswali ambayo yote yamejibiwa ndani ya andiko. Ujinga ni kipaji.!
 
Poleni sana kwa jitihada mlizofanya katika kufuatilia jambo hili.
Nilisuhudia wakati wa Maulidi Singida Mwigulu alihojiwa lakini majibu yake yaliacha maswali mengi mno.Niliwahi kuandika kuwa nilimsikiliza Mbowe akilizungumzia hili lakini naye kauli yake ilionyesha kuwa kuna jambo analitia mashaka.
Sijasoma post zote humu lakini watoa taarifa ni Shao na Malisa na kwa mnasaba wa majina ni wa kutoka ule mkoa ambao kidogo una shida na serikali yetu.
Torture na elimination,haya, Mungu ndiye ajuaye yaliyo ndani ya vifua vya watu na tushukuru kwa kila jambo.
 
NASIKIA YUKO SOUTH AFRICA..WATU WANASEMA WAMEMUONA ILA SINAUHAKIKA

 
Aiseee hii tasisi sijawahi isikia,

Ili kuwa wapi siku zote?

Km amekufa si kishaoza? Halafu ndo wanajitokeza

Mkuu mbona walikuwepo toka mwaka jana, rejea:

GUMZO!! KAMPENI YA KUTAKA BEN SAANANE APATIKENE ...
www.tanzaniaclassic.com › . News
Dec 11, 2016 - Umoja wa Kizazi cha Kuhoji Tanzania (UTG) tumeanzisha Hashtag (#) isemayo [HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]. Kama wewe ni mmoja wa ...

Kutoweka Ben Saanane bado kitendawili – MwanaHALISI Online
mwanahalisionline.com/kutoweka-ben-saanane-bado-kitendawili/ -
Dec 12, 2016 - Bernard Saanane, Msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema ... Bernard Saanane ambaye ni Katibu wa Umoja wa Kizazi cha Kuhoji Tanzania (UTG), ... ndipo tukaenda Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) ili tupate taarifa za ...
 
Huyu Malisa ana matatizo sana.
Anapinga kuwa simu ya Ben iliwasiliana tarehe 16
Watanzania wengi wana line zaidi ya mbili,ana uhakika gani kama ben aliamua kutumia line nyingine
Line nyingine ingejulikana...
 
Ilinipita hii

Wacha nifungue nione
 
Mbona chama cha siasa ambacho Ben ni mwanachama wamekuwa kimya sana katika hili?
Unaweza kuthibitisha au unapiga porojo tu? Mamlaka za Serikali nimeelezwa na chama kupitia Tundu Lissu, Wabunge wa CHADEMA bungeni, Katibu Mkuu, wanachama wamepiga kelele sana ila Serikali imekataa kuchukua hatua.

Sasa unaleta porojo za ukada wa CCM ili kufurahisha nafsi yako iliyojikita kutetea porojo za CCM na kuacha kumtetea Ben Saanane kama Mtanzania mwenzetu. Jitafakari
 
Hii awamu hata ikifanikisha kutoa maziwa kwenye mabomba kamwe siwezi kuikubali kutokana na haya yanayoendelea na jinsi wanavyoyachukulia.
Leo hii hata malaika akiingia CCM akakaa kwa zaidi ya dakika tano anageuka kuwa shetani
 
Mkuu kuna comments zingine hazina hata hadhi ya kujibiwa. JF imekokota kila aina ya watu, wakiwemo wale wajinga kabisa ambao hata ukiwauliza Rais wa kwanza wa nchi hii ni nani hawajui!
 
Huyu Malisa ana matatizo sana.
Anapinga kuwa simu ya Ben iliwasiliana tarehe 16
Watanzania wengi wana line zaidi ya mbili,ana uhakika gani kama ben aliamua kutumia line nyingine
Kumbe wajinga mtaani si bashite tu kuna vimelea vingine vya ujinga na ni vibaya kuliko hata vya bashite.
Yaani siku mbili mfululizo bila namba kutumika na mtu anatoweka,tumia hata akili ya kuzaliwa kuchanganua mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…