Tamko la Umoja wa Kizazi cha Kuhoji(UTG) kuhusu hali ya usalama nchini na kupotea kwa Ben Saanane

Hii awamu hata ikifanikisha kutoa maziwa kwenye mabomba kamwe siwezi kuikubali kutokana na haya yanayoendelea na jinsi wanavyoyachukulia.
bila kuwadhibiti hao vipanga kina tanzagiza awamu hii haitaweza kutoa maziwa kwenye mabomba. hakuna kiashiria ben saanane ametekwa na dola ila wabia wake wanajishuku kwa vile wanajua wako vitani na awamu ya tano. ben aliendesha propaganda chafu na isiyokua na uhalali dhidi ya jpm. tunamwomba mungu ben apatikane salama ili ashuhudie kushindwa kwa propaganda na hila zake.
 
Ukweli kunamambo ya kushabikia ila kila jambo lifikilie mara 2 na igeuze angali ni ww ingekuwaje baba yko katoeka kwnye mazingira ya sintofaha na unapoenda kushitaki huoni muelekeo wa kushuhulikiwa swala lako tuwe na utu na huluma kwa binadam mwnzio
 
Kuwa mpole ndgu wengine kuwambia mpka akuelewe mpka umtandike na nondo
 
Hili ni tamko la UTG. Haliwazuii Mwanahalisi kutoa tamko lao kama wataona kuna haja ya kufanya hivyo.!
Matukio ni ya dar na kilimanjaro anapokaa malisa. ...mwenyekiti malisa katibu shayo. ....UTG haina utofauti na CHAGADEMA. ......watu wa mkoani hatuna shida msituhusishe......kupotea/kutekwa ni matukio kama kufa,kuumwa, ajali n.k....,
 
Kazi hiyo sasa ifanywe na Polisi, ndio wanawajibu wa kupeleleza, kukamata na pengine kushitaki. Hii taasisi inatoa msukumo tu ili vyombo husika vitimize wajibu wake.
 
Mimi nina swali dogo tu. Hivi baada ya Ben Saanane kuhoji kuhusu thesis iliyopelekea mhusika kutunukiwa PhD huku thesis hiyo hiyo ikifanana kwa kila kitu na ya mtu mwingine ilipita muda gani ndipo akawa amepotea?
 
Ndo maana nasema recommendations hizo ni vague kama wameshindwa hata kuhoji vitu vilivyowazi huku mnajiita Kizazi cha Kuhoji.

Vijana wanaogopa vipi Mbowe kuhojiwa kama wanajua alikuwa msaidizi wake? Mwanahalisi ilisema anaonekana kwa nini wasilete hayo.

Kwa kuleta vitu nusunusu ina maana kazi yote ni batili na ni ya kisiasa mno.

Lazima wawe huru. Kuna watu wanasema Mbowe aliwapiga mkwara kwa kuanzisha kundi linalopinga move zake ndani ya chama ndo maana wamenywea na kutajataja polisi tu humu?
Kazi hiyo sasa ifanywe na Polisi, ndio wanawajibu wa kupeleleza, kukamata na pengine kushitaki. Hii taasisi inatoa msukumo tu ili vyombo husika vitimize wajibu wake.
 
Huyu Malisa ana matatizo sana.
Anapinga kuwa simu ya Ben iliwasiliana tarehe 16
Watanzania wengi wana line zaidi ya mbili,ana uhakika gani kama ben aliamua kutumia line nyingine
Line nyingine ipi, ambayo haina jina lake? Line si zimesajiliwa kwa majina ya watu au? Maybe am missing a point.
 
Kinachonikera ni serikali kupitia usalama wa Taifa kunyanyasa na kuua watu wasio na silaha.Jana polisi mameuawa kinyama kwa kupigwa risasi, polisi iache kutengeneza chuki na wananchi maana mwisho wake sio mzuri!
 
Hii imeandikwa kwa kiburi na kejeli ya hali ya juu .Unaposaema' kuuwawa askari wao' inalenga kukejeli na hata unapotoa pole baada ya kejeli inakuwa pole isiyokuwa na maana.Unataka polisi watimize wajibu wakati huwatambui kama ni polisi wako pia.Nyinyi vijana wa sasa mmepoteza kabisa muelekeo wa kitaifa na hata pale mnapokuwa na hoja nyeti kama hii mafaniko yake hayapatikani kwa sababu ya tabia zenu chafu za kudhani kutumia mababvu na lugha za ovyo ndiyo mafaniakio.
 
Huyu Malisa ana matatizo sana.
Anapinga kuwa simu ya Ben iliwasiliana tarehe 16
Watanzania wengi wana line zaidi ya mbili,ana uhakika gani kama ben aliamua kutumia line nyingine
Kanawe miguu ulale. Usilete ushabiki mandazi kwenye maisha ya watu.
 
Naona una ukame wa hoja umebaki unabwatabwata
 
Umebanwa na kimba
 
Kuna akili za ajabu duniani. Akili za kimbwa mbwa kama hii iliyotumika kuandika hii post
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…