Tamko la wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM taifa

Kifo cha kujitakia hiki,huyu Ndungai alijidharaulisha mwenyewe kwa kukubali kutumika kiboya enzi za yule dhalim aliyeko motoni sasa, anavuna alichopanda

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Acha ujinga kwani nyinyi na huyo bibi yenu ni watakatifu wote ni majizi! Usifikiri Ndugai yuko mwenyewe ana watu nyuma yake! Mtajua hamjui mda si mrefu!
 
Ndugu unasahau kwetu huku siasa ni kazi ya watu wengi walio masikini. Wao wanawazia matumbo yao na ya familia zao hayo mengine yatajipanga yenyewe.
 
Si ilishatungwa sheria kuwa spika hashtakiwi
 
Acha ujinga kwani nyinyi na huyo bibi yenu ni watakatifu wote ni majizi! Usifikiri Ndugai yuko mwenyewe ana watu nyuma yake! Mtajua hamjui mda si mrefu!
Unawajua ccm vizur wewe? kuna mtu alikua na nguvu kama Lowassa? na tukaaminishwa kwamba atameguka na kundi la maana,lakini kilichomkuta si unakijua? hao ndo ccm,huyo ndugai akila chuma atajikuta yuko yeye na familia yake tu.
 
Mlifikiri wanaoimba katiba mpya wajinga?
 
Ndugai aaking'olewa uspika mjue hatomaliza mwaka huu lazima watamzika RIP kwa kibano watakacho mpa!!!so sad!!sukari na presha zitamuuwa!!!
 
CCM mnajinasibu Kwa demokrasia!Kiko wapi?
 
Ayub alishajimaliza kisiasa toka 2015. Wakati Prof Assad (CAG) alipohoji matumizi mabaya ya fedha Za Serikali bila idhini ya Bunge, alikaa kimya akamuundia zengwe na kumdhalilisha Assad hadi akafukuzwa na JPM kwa kufanya hivyo muhimili wa Bunge ukafa ukabaki muhimili mmoja tu.

Leo hii Ayub anashtukia mazingira yale yale aliyosaidia kuyatengeneza kama vile siyo mshirika. Nashauri ajiandae kisaikolojia kwa yafuatayo;
1. Gharama Za matibabu zilizoibuliwa na Ripoti ya CAG,
2. Kukiuka Katiba ya nchi kwa kujiwekea kings ya kutoshtakiwa,
3. Kukiuka katiba kwa kuwaingiza bungeni wabunge wasiokuwa na chama.
It is a catch 22 situation for him, either way he is going to sink to the bottom and sadly he will not be missed.
 
🔰 TAMKO LA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

🟢 Leo Tarehe 5 Januari,2022 kuanzia Saa 5:00 Asubuhi

🟢 Eneo Ofisi ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam

#NyukiWaMama

View attachment 2068957
Nimeona sehemu kumbe Mama ndiye alikuwa mtoa siri za Ikulu enzi za Dkt Magufuli, na ndiyo maana Kigogo na Mange hawana namna maana mnyetishaji wao ndiye kawa rais so hawana mpya
 
Muhimili wenye sauti Tanzania ni mmoja tu, hiyo mihimili ingine miwili imemezwa na ule muhimuli mkubwa
 
Nimeona sehemu kumbe Mama ndiye alikuwa mtoa siri za Ikulu enzi za Dkt Magufuli, na ndiyo maana Kigogo na Mange hawana namna maana mnyetishaji wao ndiye kawa rais so hawana mpya
Mnafiki wewe.....

Usipomtii mwenyekiti wako UNAJIMALIZA MWENYEWE KISIASA.....

SIEMPRE CHIEF MKUU HANGAYA🙏
 
Hata waseme nini, mtu hawezi akakopa trillion 10 ndani ya miezi 9 kwa ajili ya madawati tena bila ruhusa ya bunge, hii haikubaliki, maana tunaweza kuja kupigwa mnada namna hii, hili lazima litaondoka na mtu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…