Tamko lao hawapo tayari kumuona anangatuliwa kabla ya 20015

Black Jesus

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2008
Posts
256
Reaction score
10
kuna kijitarifa kinaeleza kuwa SMZ wametowa tamko la kutokuwa tayari kumuona Jk anangatuka URAIS kabla ya 2015, kwa shindikizo la kikundi fulani au mtu fulani,ikitokea hali hiyo wao watameguka.
 
Last edited by a moderator:
si hivyo tuuu

wamesema hivyo vitambulisho veyenu viishie kisiwa cha CHUMBE
 
kuna kijitarifa kinaeleza kuwa SMZ wametowa tamko la kutokuwa tayari kumuona Jk anangatuliwa URAIS kabla ya 20015,ikiwa kwa sindikizo la kikundi fulani au mtu fulani,ikitokea hali hiyo wao watameguka.

mkuu Black Jesus nakufeel,ila hizo spelling errors mpaka kwenye kiswahili inakuwa soo mkuu, 'Anangatuliwa' ndio nini? , kuna mtu sasa hivi ataishi mpaka huo mwaka 20015 mshkaji?

Rekebisha uhusiano wako na keyboard mkuu.
 
 
that is a deal....karume amteteee ...na yeye apiganie mgombea chaguo la karume apete urais zanzibar mwakani....
 
kuna kijitarifa kinaeleza kuwa SMZ wametowa tamko la kutokuwa tayari kumuona Jk anangatuliwa URAIS kabla ya 20015,ikiwa kwa sindikizo la kikundi fulani au mtu fulani,ikitokea hali hiyo wao watameguka.

Just checking jamani. Maana some spelling errors can change the context & meaning of the writing.
 
Kwa hiyo wametupa Kisiwa cha Chumbe siyo? Siyo Zanzibar kile?
Mambo mengi ya ajabu ajabu ya Bara mwisho wake ni kisiwa cha Chumbe.

Kauli hii ya mwisho Chumbe ilitumiwa sana na Marehemu Karume alipokuwa akimjibu Marehemu Nyerere wakati alipokuwa anataka kulazimisha mambo yasiokuwepo kwenye mkataba wa Muungano.
 
Are they the determinant of the Tanzanian president? Hell! let them go..................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…