Tamko moja tu la TEC, wametokeza Mashekh 100. Je, wakitoa la pili si mtakufa kabisa?

Akina Mwaipopo wako humu wanatukana kila saa
 
Sawa mkuu, ukifa hiyo dec 29 usisahau kutusalimia akina nyerere na wenzake wote kuanzia kawawa hadi magufuli
Kufa sio habari tena ya kutishia watu ,kuzaliwa ni mara moja na kufa ni mara moja tu, oama anakufa mtoto aloye zaliwa leo na mwingine anakufa kwa uzee wa miaka 100+ basi jua uhai hauna quarantee maana kila nafsi itaonja mauti kwa wakati wake
كُلُّ نَفْسٍ ذَائِقَةُ الْمَوْتِ
“Kullu nafsin dhaa’iqatul mawt.” hivyo usitushie watu kifo maana hata wewe ni mali ya kaburi
 
Akili kisoda
 
Maelezo marefu lakini pumba tupu. Bora hata maelezo ya msukuma
 
Naongelea hao mashehena na mapakacha yanayoweza kumeza kila kitu hata mavii kama kokoro siyo?
 
Mimi naamini Bakwata ni tawi la ccm kama ilivyo kwa uvccm, cwt, uwt, tucta, policcm, tumeccm, nk.

Masheikh wa Shura ya Maimamu ndiyo wanastahili kuwa wawakilishi na wasemaji wa Waislam kote nchini.
 
🚮💯%
 
Shida ya TEC ni kujiona wana akili mno na ni watu na wana maamuzi ya nchi na wanaweza ku manipulate mambo mengi kwa faida yao yaani waliisha jipa ka uwezo ka kuamua maamuzi hata ya dola,lkn wakikutana na watu ambao hawawapi hio attention wanaanza kugaragara na kuanzisha chokochoko na kwa juu juu wanaonekana kama wana zungumzia haki na amani lkn kiukweli ni kutaka ku dominate the situation na controlling tu
 
Eleza TEC wanataka ku controll nini? Mnaongea juu juu bila facts.
 
Na mtoa mada elewa kitu kimoja suala sio kwamba eti tamko lao limetoa ma Sheikh wengi au watu kama sie wa kawaida kuwapinga , sema lime onyesha dhamira yao na manipulation zao kwa watu wengi zaidi zipo wazi yaani wao TEC sio watu special hivyo na hata hizo PHD zao bado watu wanaweza kujua dhamira zao ovu zilizofichikana ,they are not that special

Na sisemi kwamba hao TEC/Gwajima the likes sio kwamba wanaongea vitu vibaya , wanaongea mambo yanayotukabili kweli na yanahitaji ufumbuzi lkn tatizo lao ni moja au mawili ni watu wanapo zungumzia haki na amani ni kipindi tu maslahi yao na agenda zao zinapokuwa hatarini au hazizingatiwi
Kwahiyo hata kama wanasema mambo yanayoonenaka kwa juu kama yanaleta u maana lkn dhamira zao ni ovu na mbaya hasa kwa makundi ya jamii zingine na imani tofauti na yao na wapo selective kulingana na faida ipi wanayoipata

Kwa mtoa hoja issue siyo masheikh wangapi wamewapinga, kubwa ni dhamira yao ovu imeanza kujulikana kwa wengi wawe masheikh au sie watu wa kawaida wasijione invisible
 
Eleza TEC wanataka ku controll nini? Mnaongea juu juu bila facts.
View attachment 3504489
Huu ni mtizamo wako wa jumla mkuu na wala sikupingi kwa mtizamo wako lakini haiwezi kutoa ukweli ktk mazingira ya nchi yetu na siasa zake na utamaduni wake . TEC siku zote wanasukuma agenda zao kwa uwazi na kwa siri kwa lengo la kudhibiti makundi mengine ya Imani kwa ufupi ni waovu
 
Your browser is not able to display this video.
 
Umeandika mengi sana. Ila Kinachokusumbua wewe ni Wivu (Envy) kwao hao TEC, Si kingine.

You envy them, You've utilized lots of words to hide that Envy but It leaks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…