Tamko moja tu la TEC, wametokeza Mashekh 100. Je, wakitoa la pili si mtakufa kabisa?

Kwa hiyo mnamiliki bandari zote za nchi na makusanyo yanaingia mwenye account ya bakwata siyo? Basi sawa.
 
Umeandika mengi sana. Ila Kinachokusumbua wewe ni Wivu (Envy) kwao hao TEC, Si kingine.

You envy them, You've utilized lots of words to hide that Envy but It leaks.
How niwe na envy na taasisi mkuu, yaani hawaongezi wala kupunguza chochote katika maisha yangu lkn naandika yote haya kwa amani ya wote sisi na vizazi vyetu hao TEC ni watu/taasisi muhimu na yenye nguvu sana Kwahiyo kuonyesha mapungufu yao ni faida kwa sie wote wasisahau wajibu wa kuhimiza na kuleta umoja na utengamano kwa waamini wao na Taifa kwa ujumla

Kukujibu mkuu sina wivu na wao TEC , how ? (Kwa vipi niwe na wivu na taasisi ) sema huwa nina vutiwa na ushawishi wao kwa ujumla (lakini pale wanapokuwa na dhamira ovu ni kuwa expose maana kwa ushawishi wao wanaweza kutuangamiza) kwa sasa hawapo ktk upande wa amani ila wapo kwa kusukuma agenda zao kwa kisingizio cha haki sijui na what . Hawataki utengamano na umoja tuwapuuze
 
Says Otherwise.

That means you envy what they can do, You disguise that Envy (Negative) as an Attraction to their capabilities (Positive).

But Envy as often is intertwined to Hatred which makes it obvious in your remarks/comments in this forum.
 
Unaweza kuTHIBITISHA hiyo Dhamira ovu?
 
Unaweza kuTHIBITISHA hiyo Dhamira ovu?
Hivi mkuu unaona ilikuwa ni timing sahihi kutoa Waraka (Hapa na question hata busara zao na elimu wanazojinadi)baada ya speech ya Rais na hasa aliposema ni muda wa maridhiano na kuyaleta makundi yote wakae pamoja ( Hata kama nia ya Rais ilikuwa ni kushusha tu joto hili na isiyokuwa na dhamira ya ndani lkn kulitakiwa subira kidogo waone hali inavyokwenda) yaani TEC kama hawataki any reconciliations kabisa ni kweli yaliyotokea yametokea nini way forward ni kuongeza moto kwenye jamii au kupunguza na kutafuta ufumbuzi . Hii tu inatosha kuonyesha wana dhamira fichika ambayo mie naiita OVU na ni mpango mkakati mkubwa kwa faida ya malengo yao wanayoyajua wao na mostly hayako kwa haki ya ujumla kama jamii au Taifa

Kwa mtizamo wangu waraka wa TEC hata kama una some points lkn timing yake ya kutolewa kulingana na hali halisi ya sasa ulitakiwa kupunguza mivutano lkn sana imechochea mpaka imeibua tena watu wa imani nyingine na hasa baadhi ya Wa Islam nao kunyanyuka na kuanza kushambulia huo waraka wa TEC ( unaweza kuwadharau na kejeli kwa kigezo cha elimu zao lkn kikinuka hakuna pHD wala kanisa au msikiti hapo ni wote tunazamana na nilihisi TEC wapo smart kujua hili) hapa tunatengeza shida nyingine ndani ya shida
Na bado pamoja na yote huo waraka haukuangazia pia vurugu na vitendo vya uharibifu na hujuma kwa mali za umma na binafsi na pia haki inayotakwa ya waandamanaji lkn ni hao hao hawatoi haki kwa watu ambao hawataki njia hiyo ya kuandamana

Hitimisho: Tanzania/Tanganyika ni ya wote na kiukweli tunaweza kutoka hapa kama tukitumia akili zetu vizuri kutoka hapa kwa salama na amani, na hizo PHD ndo zitaonyesha zina maana hasa , sababu machafuko yakitokea hayawezi kuangalia chochote na yoyote ni kama kifo tu hayabagui mkuu wote tutakuwa wahanga kwa namna moja ama nyingine

Please TEC do better
 


Venom power
 
Absolutely!

Kwa maana," arguing with a fool, proves there are two!"
 
Ningelipenda kama ungelijadili point zako bila kuingiza dini. Kwanza ume miss my point sikumtishia mtu na kifo nimemwambia atusalimie waliotangulia. Pili kila mtu ataonja mauti ni kweli lakini haimaanishi utoke ukakate barabara bila ya uangalifu kwa kuwa tu kila mtu iko siku atakufa. Kama kweli una elimu ya dini ya kiisalamu basi utajua kisa cha mtume na yule mtu alokwenda kumtembelea mtume na akawacha farasi wake nje bila ya kumfunga na kusema mola atamlinda na nini mtume alimjibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ