Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,559
- 3,586
Jamaa analipotezea jeshi heshima yake. Sijui wanajeshi wanachukuliaje hii hali.Capt. Tesha alitakiwa kipindi kile kuwakusanya jamaa zake wachache waaminifu na kufanya maamuzi magumu, badala ya kuishia tu kuwasilisha malalamiko kwa CDF ambaye ni figure head tu.
Mafwele huyo akisoma ujumbe wenu kwa JWTZ ilhali anajua anawachezea makalio hao mabakamabaka.
Bongo hakupoi mpaka kieleweke
Tamko liko very clear na linasomeka na kujitosheleza lenyewe
#Tutaelewana tu
View attachment 3509104
View attachment 3509105
Soma pia: PostGE2025 Kuelekea D9: GenZ watoa Tahadhari ya kiusalama kwa wageni na watalii wanaotarajia kuingia Tanzania kuanzia 9/12/2025