Tamko: Sitaki shobo

Tamko: Sitaki shobo

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
70,916
Reaction score
141,437
Kichwa cha habari chajieleza,

Kuhongwa rep power sio tiketi ya kuombea na bia, kama mna kiu na bia mtafute hela zenu, muombe kwa wazazi au wame zenu. Mambo ya kuomba hela ya bia kwa shemeji yenu sitaki tena mkome alaaah mie mwenyewe hizo bia nina kiu nazo msijitie kuhoji kwanini sijaongea nae jibu ni kwasababu nimeona mafuriko ya kuomba omba yamezidi nimeamua kusema kama vipi namie mnipe namba na wanaume zenu wanipe hizo hela za bia kubafu

Sitaki mazoea kwa baby wangu sitaki sitaki mfowadiane pm kwa anaehitaji kumjua

Nb: Tamko halina mjadala
 
he he heeee... wamesikia wahusika
 
Maweeeee.....!:A S embarassed::A S embarassed:
 
Wala sio kuvurugwa bwana ni kufanya marekebisho
kila mtu akitaka bia mwisho atahonga depot ujue ohoooo
bora wewe umeomba zako novida

Basi sawa.........watu hawana soni eeeh.........
novida mi zangu 2 tu......ya chenza na nanasi.......naenda kulala........
 
Basi sawa.........watu hawana soni eeeh.........
novida mi zangu 2 tu......ya chenza na nanasi.......naenda kulala........

Nakutumia tigo pesa, usije omba savanna mwanangu akakosa pampers
 
Back
Top Bottom