Safi sana vijana, uvccm ilikuja na siasa tope. Kwa nini UVCCM itumike kuwachafua watendaji wa Serikali instead of wanasiasa wanaotekeleza sera za CCM? Walitakiwa kuanza na Wazirir Mkuu then waziri anayehusika na bodi ya mikopo, maana watendaji wao wanafuata sera inasemaje. Kwa nini tuwaonee watu wanaohangaika na kazi za utendaji kila siku huku vipato vyao ni vidogo? Wizara ina waziri na manaibu wake, hivi wanfanya nini katika hili? Kwa nini Ridhiwani unawaonea wazee wa watu ambao ni kama baba zako kwa kuwaita wazembe? Hivi unafikiri wewe ni special one? Umesahau ulivyokuwa una desa chuo? Hii si adabu, nasema kuweni waangalifu na muwe na adabu.