LegalGentleman
Member
- Oct 26, 2021
- 99
- 294
Tanzania Music Rights Society kwa sasa inatoa leseni za sanaa zinazoruhusu matumizi ya kazi za kibunifu katika maeneo ya kibiashara ambazo kabla ya mabadiliko ya sheria ya fedha zilikuwa zikitolewa na COSOTA. TAMRISO ndio sasa watakusanya na kugawa mirabaha sasa
Mirabaha ni nini?
Ni fedha ambazo wanapewa wabunifu mara baada ya matumizi ya kazi zao sehemu mbalimbali. Kuna aina mbalimbali za mirabaha mfano Machenical royalties, Public perfomance royalties, Synchronization royalties etc